picha: Kamati Kuu (CC) mpya Februari 2013

picha: Kamati Kuu (CC) mpya Februari 2013

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
6,296
Reaction score
2,578
857620_219576844852798_1926594022_o.jpg

Kamati Kuu (CC) mpya Februari 2013
 
Weka mbali na tembo.....!!!

Mkuu chanzo cha mapato kwa ajili ya 2015=Tembo or Nyara=Hela kupitia kule POAC walikuwa wanathibiti=Tozo za mafuta (road toll)= endless sources!! Kumbuka 2015 utakuwa the toughiest election!!! 2010 ni cha mtoto!!
 
La kuvunda halina ubani.CCM imeshavunda kwa hiyo hata wamweke nani, hakuna atakayeinusuru na mazishi yake 2015
 
Hizo ni nguo hakuna kitu hapo, CCM / cc enzi hizo kwa sasa uhuni mtupu.
 
La kuvunda halina ubani.CCM imeshavunda kwa hiyo hata wamweke nani, hakuna atakayeinusuru na mazishi yake 2015
Shida yenu mlitaka tuwawekee Garasa ili mpite kiulaini sasa hayupo na CCM imetulia mlidhani ni vurugu hiyo ndio CCHAMA KUBWA

attachment.php
 
Nadhani Dr Salim yuko kwenye kamati ya katiba mpya kule anakula kilaini zaidi ya vikao vya CC!
 
Hii sio Kamati Kuu. Nape na Mwigulu sio wajumbe wa Kamti Kuu.Huu ni mchanganyiko wa Sekretarieti na Kamati Kuu
 
Bado hapo sijaona mtu wa kupambana na mziki wa sasa wa makamanda wa CHADEMA.
CCM bado tuko nyuma sana, wapinzani wetu CHADEMA wametuacha mbali sana kwenye kufanya siasa za kisasa na kistaarabu,

Kikosi chetu cha CCM kimejaa wafitini(JK, Wassira), Waropokaji(Nape), Watukanaji(Mwigulu), Waoga(Migiro, Meghji, Nahodha, Khatibu), Maharamia(Kinana nk), Wazee wachovu(Shein, Bilali aka Mkasi, Mangulla)
 
La kuvunda halina ubani.CCM imeshavunda kwa hiyo hata wamweke nani, hakuna atakayeinusuru na mazishi yake 2015

Eti Kimbisa naye mjumbe wa CC,?.Hapo ni kuendeleza uswahiba tu.Kimbisa alikuwa Katibu wa RED CROSS na Kinana ze Watembo akiwa Mwenyekiti kwa hiyo ni umafia tu unaendelea.CCM inakufa tu kabisa.Na hii dhambi ya Kikwete ya kuendelea kubeba watu wake anaowataka ndi balaa kabisa.Nani asiye jua kuwa kule Zanzibar anamta Dr. Mwinyi kuwa rais kama thawabu kwa mzee Alhaj Mwinyi rais mstaafu, na wengine chaguo lake ni Seif Khatibu,Nahodha na sasa amemuongeza Dr .Salim na Kwa urais wa Bara ndio hao hao kutoka Zanzibar na wa bara ni Mzee wa Gombe,Asha rose,Tibaijuka-Gender ,lUKUVI na Nchimbi ?.Kwa ufahamu wa Watz na WANA ccm wazuri Kiwete atakula jeuri yake.
 
Hamna kitu hapo yote makapi matupu, wametoa vilema wameingiza viwete, hiyo ndo itakayomchagua raisi mbovu 2015 halafu watatuachia nchi yetu na wana CDM.
 
Back
Top Bottom