Tangu uzinduzi wa kampeni za chaguzi ndogo za kalenga chadema imezidi kujiimalisha huku ikiungwa mkono wazee kwa vijana, hali hiyo imefanya mgombea wa ccm ambaye hata mipaka ya jimbo lake haijui, mlowezi huyo amechanganyikiwa kabisa na kuanza kulialia kwenye media tu kuwa yeye alienda kusoma na kuoa tu huko UK..
View attachment 141726
MBUNGE WA KALENGA ANAYE SUBIRI KUAPISHWA AKISALIMIA WANA KALENGA HUYU NDIYO MTU WA WATU SIYO YULE WA KULAZIMISHA KURITHI UBUNGE ...KUDADEKI ZAKE AKARITHI NYUMBA YA BABA YAKE SIYO JIMBO
Katangazwa lini kama mshindi??
MiChadema kwa kujifariji.
Karibu jamvini mkuu... nchi hii imeongozwa na mchwa kwa zaidi ya miaka hamsini ni wakati sasa wa wengine kuchukua nchi hii, tukapigania watanzania na siyo kikundi kimoja...mkiwa mna shida ndio mnajua kuna wana nchi maskini, mkifika mjengon kaz kulilia posho na mnawasahau waliowapa nauli ya kufika huko.
Kwa hiyo sisiemu ni maharamia?Siku atakapogundua kuwa yupo kwenye chumba cha waharamia atajuta kuzaliwa aibu ya mwaka ataipata tena kwa sana.
Huyu mama ngoja avae masuruali lakini cha moto atakipata wala hatasahau kwenye maisha yake moto utakao waka.
Kwa hiyo sisiemu ni maharamia?
Tangu uzinduzi wa kampeni za chaguzi ndogo za kalenga chadema imezidi kujiimalisha huku ikiungwa mkono wazee kwa vijana, hali hiyo imefanya mgombea wa ccm ambaye hata mipaka ya jimbo lake haijui, mlowezi huyo amechanganyikiwa kabisa na kuanza kulialia kwenye media tu kuwa yeye alienda kusoma na kuoa tu huko UK..
View attachment 141726
MBUNGE WA KALENGA ANAYE SUBIRI KUAPISHWA AKISALIMIA WANA KALENGA HUYU NDIYO MTU WA WATU SIYO YULE WA KULAZIMISHA KURITHI UBUNGE ...KUDADEKI ZAKE AKARITHI NYUMBA YA BABA YAKE SIYO JIMBO
Katangazwa lini kama mshindi??
MiChadema kwa kujifariji.
Jamani mbona watu wenyewe Watoto ambao hata sio wapiga kura ama nimetazama vibaya