Picha: Jux akwaa Scandal ya Ushoga

Je mtu kuzushiwa kitu kunakufanya moja kwa moja uamini kwamba kitu hicho ni cha kweli ?
Hapana ila pia hakinifanyi nikipinge kwa uhakika kwamba ni uzushi...
Mimi on personal level sijaaminishwa na hii post, nacho shindwa kuelewa ni kwanni mtu awe 100% sure ni uzushi alafu most probably mtu mwenyewe hajawahi hata kumuona jux
 
Hapana ila pia hakinifanyi nikipinge kwa uhakika kwamba ni uzushi...
Mimi on personal level sijaaminishwa na hii post, nacho shindwa kuelewa ni kwanni mtu awe 100% sure ni uzushi alafu most probably mtu mwenyewe hajawahi hata kumuona jux
Bado unajichanganya. Je kuwahi kumuona mtu kunakupa assurance ya kumfahamu huyo mtu in n out ?
 
Du we mjamaa unatunishiana misuli na female dog
 
Your reply to what I ve written is a logical fallacy...its the strawman fallacy, you are bating me to answer something that I have not assessed, so I will not answer.
Soma vizuri nilichoandika...
Bado unajichanganya. Je kuwahi kumuona mtu kunakupa assurance ya kumfahamu huyo mtu in n out ?

Sent from my HUAWEI VNS-L21 using JamiiForums mobile app
 
Kiingereza sijui mkuu.
Tafadhali re-write kwa kiswahili
 
Kiingereza sijui mkuu.
Tafadhali re-write kwa kiswahili
Siwezi kujibu kitu ambacho sijakisema mimi, mi nimesema nashangaa mtu hajawahi hata kumuona huyo msanii ila ana imani naye 100%..
Wewe unakuja kuniuliza kwamba kuwahi kumuona mtu kunakupa assurance ya kumfahamu mtu in and out..
Sasa hilo swaili yanahusianaje na nilichosema mimi,
Ningesema mi nimewahi kumuona, ndo maana am sure it's true... Ilo swali lako lingefit?
Au ungeuliza kwani kumuona mtu ndo njia pekee ya kumfahamu mtu.? Hili swali pia lingefit na nilichosema mimi
Au ungeuliza unajuaje hatujawah kumuona/hatumjui?
 
Asante sana mkuu. Hapo nimekusoma
 
Mwandishi taarifa zako hazieleweki, unapoteza muda kuandika jambo ambalo huliweki straight forward, kwenye uandishi nakupa 1/100....

Point ya msingi uliyopaswa kuigusia ni basha ama shoga....

Sasa Kama huelewi ninachoandika unaendelea kusoma ili iweje
 
People who like to talk about others have nothing to present about themselves
 
Kwa hiyo wewe hapo mtaani kwenu mtu akikutuhumu unakula nyama za watu. Akaanza kukutangaza mitandaoni. Unataka tuamini wewe ni cannibal kwa sababu ya uvumi unaoenezwa na mpuuzi fulani?


Sikia Jux, mi sina bifu na wewe ila wenzako wanasema wewe ni bwabwa na pengine V Money ni mumeo na ndiyo maana kakomaa kivile. Si unataka kusifiwa kuwa we ni bwabwa, sasa unakasirika nini wenzako wakikusema?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…