Picha: Jux akwaa Scandal ya Ushoga

Sijaona tatizo kwa mwanaume kum video call mwanaume mwenzake, I have friends ambao nimecheza nao, nimekuwa nao, nimesoma nao na mpaka sasa we are friends kiasi cha kuonana kama familia siwezi kuwa na "negativity of thoughts" yoyote if I video call them.

Tuache mihemuko.
 


Wanawake vipofu kweli, sasa Jux ana uhandsome gani au kule kuvaa hereni na kunyoa nyusi kwake kunakuchengua? Mwanamme shoga anajulikana tu, Dar vijana na wanaume wa namna ya Jux wako wengi sana na wengi wako underground ila muwasho ukiwazidi wanakuja hadharani (Facebook na Instagram) kutafuta kikii.
 
They say, "you aint real man until you get some haters."
 
They say, "you aint real man until you get some haters."

So you are telling me that I am a Jux hater? The kid is pathetic in everything except ushoga, kuimba hajuwi hata kuvaa nguo anizidi. I have no time for his lame ass, mwache ashikishwe ukuta tu, ipo siku V ataisoma namba akiombwa kuinamishwa na yeye wakati hana wowowo.
 
V Na alvo flat cjui anashika wapi
Ndo ile mifupa mikavu
 


Sasa unashangaa nini, Jux anahusishwa sana na ushoga hapa mjini.
 
Mkuu hivi unapata faida gani kuchafua brand za watu...fikiria ingekuwa wewe or ndugu yako anachafuliwa hivi ungejiskiaje
We Jux ni ndugu yako kwani, kwamba unamjua kiundani sana paka una uhakika hizi habari ni kuchafua brand na si za mweli
 
Bro we nenda kahubiri kanisani...if you ain't intrested kuwa muungwana pita kushoto
 
We Jux ni ndugu yako kwani, kwamba unamjua kiundani sana paka una uhakika hizi habari ni kuchafua brand na si za mweli
faida na hasara za umasikini, utajadili kila kitu kilicho mbele yako, hata vile ambavyo havikuhusu.

my take : Tupambane tuukimbie umasikini.
 
Reactions: xox
Gwajima's defense
Below average copy-and-paste job. Hapa unaona kabisa hiyo screenshot ya Whatsapp imetengenezwa. Angalia borders za hiyo mini window ya huyo shoga chini kushoto utaona hai blend-in na background ya main window.
 
True story, wengi ni tamaa tu zina wa sumbua.. Crew ya kina jux, yung d, cyrill wote ndio michezo yao
 
Mi nashindwa kuelewa hii ya mtu anazushiwa, kwanini asizushiwe juma nature au ray vanny... Kwanini waseme jux.... Think about it
Kwa hiyo wewe hapo mtaani kwenu mtu akikutuhumu unakula nyama za watu. Akaanza kukutangaza mitandaoni. Unataka tuamini wewe ni cannibal kwa sababu ya uvumi unaoenezwa na mpuuzi fulani?
 
faida na hasara za umasikini, utajadili kila kitu kilicho mbele yako, hata vile ambavyo havikuhusu.

my take : Tupambane tuukimbie umasikini.
Kama we ni maskini pole, ila information is power, and all information is valuable even how little or useless you think it is
 
Mi nashindwa kuelewa hii ya mtu anazushiwa, kwanini asizushiwe juma nature au ray vanny... Kwanini waseme jux.... Think about it
Je mtu kuzushiwa kitu kunakufanya moja kwa moja uamini kwamba kitu hicho ni cha kweli ?
 
Mwandishi taarifa zako hazieleweki, unapoteza muda kuandika jambo ambalo huliweki straight forward, kwenye uandishi nakupa 1/100....

Point ya msingi uliyopaswa kuigusia ni basha ama shoga....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…