Picha: John Mnyika, Rugemeleza Nshala Wakiwa Umoja wa Mataifa na Onanga-Anyanga Mwakilishi Maalum

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
26,654
Reaction score
59,078
IMG-20260311-WA0007.jpg

Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika pamoja na Mwanasheria Mkuu wa chama, Rugemeleza Nshala wakiwa kwenye picha pamoja na mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa United Nations, Parfait Onanga-Anyanga, baada ya kufanya mazungumzo katika ofisi za Umoja wa Mataifa zilizopo Dar es Salaam tarehe 10 Machi 2026.

Mazungumzo yao yalijikita kujadili hali ya siasa nchini kufuatia matukio ya tarehe 29 Oktoba 2025 pamoja na umuhimu wa uchunguzi huru na mabadiliko ya kikatiba ili kuhakikisha uwepo wa chaguzi huru na haki nchini.
IMG-20260311-WA0008.jpg
 
View attachment 3556405

View attachment 3556404
Safi sana.
 
Umoja wa mataifa, UN unasubiriwa pia utoe majibu ya kule Iran, Gaza, Israel, Marekani, DR Congo, Ukraine, Afghanistan, Burkina faso, Somalia na Sudan. Kama majawabu ya huko hawanayo hata ya hapa hawatakuwanayo pia. Wasting time
 
Anawashangaa Ni kwamba tu hawezi kuwafukuza ofisini kwake. mwakilishi wa UN Anaiona Tanzania kama Uswis ya Afrika. Amani na utulivu vimetamalaki, na bahati nzuri alikuwepo wakati chadema inachoma miundombinu ya serikali bila kujali miundombinu hiyo ilipatikanaje na itaathiri vipi maisha ya watanzania wa kawaida kabisa.
 
SAYNGAY
 
Unajaribu kulinganisha issues zisizolinganishika. Matatizo yote ya Tanzania yametengenezwa na genge moja la mazafakas waliojimilikisha nchi.
 
Mnyika huwa sina imani nae
Utakuwa unazo sababu zako mwenyewe, ambazo pengine zinatokana na kutokuwa na ufahamu wa kutosha.

Hujaeleza chochote kinachokufanya kuwa na hali hiyo, ili usaidiwe kuondokana na ujinga.

Unabandika tu maneno, watu wataelewa kitu gani?.
 
Anawashangaa Ni kwamba tu hawezi kuwafukuza ofisini kwake. mwakilishi wa UN Anaiona Tanzania kama Uswis ya Afrika. Amani na utulivu vimetamalaki, na bahati nzuri alikuwepo wakati chadema inachoma miundombinu ya serikali bila kujali miundombinu hiyo ilipatikanaje na itaathiri vipi maisha ya watanzania wa kawaida kabisa.

Maisha ya Watanzania waliouawa.....!!? Nyie watu hamna haya kabisa..... halafu ndiyo watu wa kwanza kuja humu na idadi ya wanaouawa huko irani badala ya kutuambia ni miundo mbinu gani au mingapi imeharibiwa na US
 
Nyinyi nguruwe wa Samia kweli mmeajizatiti kufa na mfugaji wenu.

Bado unaandika takataka hizi humu JF; ili zimsaidie nini mhalifu Samia?

Njia yenu iliyobaki imenyooka kabisa; haina konakona tena. Mtawajibishwa tu kwa uhalifu mliowafanyia waTanzania.
 
Maisha ya Watanzania waliouawa.....!!? Nyie watu hamna haya kabisa..... halafu ndiyo watu wa kwanza kuja humu na idadi ya wanaouawa huko irani badala ya kutuambia ni miundo mbinu gani au mingapi imeharibiwa na US
Na kwa bahati mbaya sana wengi wa hawa nguruwe ni 'Jihadists' kama huyu hapa 'kavulata'.
 
Umoja wa mataifa, UN unasubiriwa pia utoe majibu ya kule Iran, Gaza, Israel, Marekani, DR Congo, Ukraine, Afghanistan, Burkina faso, Somalia na Sudan. Kama majawabu ya huko hawanayo hata ya hapa hawatakuwanayo pia. Wasting time
Peleka malalamiko umoja wa mataifa kuhusu Iran wewe mwarabu Koko wa kizimkazi nguruwe mwenye fungus.
 
Utakuwa unazo sababu zako mwenyewe, ambazo pengine zinatokana na kutokuwa na ufahamu wa kutosha.

Hujaeleza chochote kinachokufanya kuwa na hali hiyo, ili usaidiwe kuondokana na ujinga.

Unabandika tu maneno, watu wataelewa kitu gani?.
Ilo ndo tatizo la nyie vijana kwamba hampendi kuskia yale msio yapenda
 
Back
Top Bottom