"Safari ya kutoka Ifakara kwenda wilaya za Malinyi na Ulanga ni ngumu kuliko unavyoweza kuelezea, kukwama barabarani na kulala njiani sasa ni vitu vya kawaida kama inavyoonekana hapa"
Baadhi ya Abiria wakijishughulisha namna ya kujinasua kwenye eneo hilo kutokana na hali halisi ionekanavyo pichani.
My take,
Wabunge wa majimbo hayo chukueni hatua kwa kushirikiana na serikali kunusuru hali hii.