Picha: Irene Uwoya, The undisputed [emoji91]

Bongo movie wanajua Sana kufake maisha..
Mtafute ndogo janja akuambie ukweli kuhusu huyu Dada.
Hivi ana nyumba? Ngapi?
Unajua huyu Dada kuna kipindi nyuma ndikumana akiwa hai walikua wamepangisha mahali walishindwa kulipa kodi wakafurumushwa wakakuta mwenye nyumba katoa vitu vyao nje watu wakawaibia...ndo mwanzo akaanza kudanga hadi alipofumaniwa na mondo..
Halafu mnavompaisha kwao mambo safi..si tungeona hata unaenda kuchukua range rover kwao atambie mtaani..kiko wapi
Hapo sasa
Maisha ya mitandaoni wizi mtupu
 
Nilimwona kwenye video fulani akiwa na kina Steve Nyerere anatembea. Dah wazee. Msidanganywe na haya mapicha. Tipwa kbs ila kwa picha kiuno chembamba!
 
Duh, umaarufu kweli una gharama zake, hii mitusi humu kama una roho nyepesi waweza kuijtoa uhai.
 
Watanzania tawana hasira ya kukua kimaisha wanaridhika haraka sana. Muda huu hata kama pesa ni ya demu angetumia kukuza mtaji zaidi ili kuweka akiba ya baadae maana hata muziki wake anaoimba ni wa kiwango cha chini , na sio muda yatamkuta ya Marlow.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom