Justard zelphine
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 461
- 278
Mwenye suti light blue anacheka cheka sanAHawa wasaidizi wa Mwamposa Pastor Tonny (suti rangi ya light blue anayecheka) na huyo Mpemba(mwenye suti dark blue na miwani anyetambulishwa na Bulldozer) ni watu wa System na hili limeratibiwa kuunganisha haya makanisa kuelekea Oktoba kukiwa na vuguvugu la Gwajima na baadhi ya Wachungaji/viongozi wa dini na manabii kuwa na muendelezo wa kuikosoa/kuitabiria mabaya Regime ya Samia.
Swali ninalojiuliza Mwamposa pekee itakiwa msingi wa kurudisha Imani ya Wakristo kwa Samia's Regime hasa Makanisa ya Manabii sababu Antony Lusekelo hakuficha alifunguka wazi kuna baadhi yao wanamchukia namba 1 ila ni wachache mnoo ukilinganisha na idadi ya wanao mkubali.
Huu nao ni ujinga, ni mara ya kwanza viongozi wa kiislamu kuingia kanisani kwenyw ibada maalum?Raisi samia
Binti wa KIISLAM Ametinga mazabahauni???
Ataghafir
Kwa ujinga huu mnaoonesha kila siku na bado mna ndoto za kuzalisha umeme wa Uranium? Acheni masihara.Siku zote picha moja ni sawa na maneno 1,000 angalia Kwa makini hii na useme umegundua nini,
View attachment 3396046
Rais wa nchi ni kiongozi wa watu wote bila kubagua dini,jinsia,kabila na mengineyo.Raisi samia
Binti wa KIISLAM Ametinga mazabahauni???
Ataghafir
Aliwadanganya Simba kwamba watatwaa ubingwa wa afrikaUshawishi wake upo kwa wajinga tu na watu wasiojitambua
Mungu Ibariki Tanzania na watu wake. Wake kwa waume na watoto 🙏🏿🙏🏿🙏🏿Raisi samia
Binti wa KIISLAM Ametinga mazabahauni???
Ataghafir
Kula yako ni Kula yetu. Tule pamojaHuyu jamaa ana ushawishi sana,mama hakwenda pale kwa bahati mbaya..
Hili ni tukio tofauti, ni ibada ya kuweka wakfu kanisa (kuzindua jengo la kanisa) nikumbushe Rais gani (asiye mshirika) aliwahi kufungua na kuweka wakfu kanisa!?Huu nao ni ujinga, ni mara ya kwanza viongozi wa kiislamu kuingia kanisani kwenyw ibada maalum?
Kwenye maziko ya Msuma huyo Mama hakuhudhuria ibada ya mazishi kanisani Mwanga? Vipi ibada ya mazishi ya Lowasa Luthe house hakuwepo?
Tuache ujinga ujinga, halafu hapo kwa Mwamposa hiyo ni Ministry huduma na siyo Church Kanisa.
Huduma ni kwa ajili ya watu wa dini zote wanafuata uponyonyaji, nenda leo kwa Mwamposa utawakuta waislamu kibao mpaka kutoka Comoro wanafuata uponyaji.
Hili atajibu yule mtunza kibuyu wetu mnywa mchuzi wa benderaIvi lile kanisa la Tb joshua bado linafanya kazi na huduma zinatolewa kma alivokua hai?
Nimeuliza tu
Kama ulimsikia Mwamposa wakati anatoa shukrani kwa walio husika na shughuli hiyo.Huyu jamaa ana ushawishi sana,mama hakwenda pale kwa bahati mbaya..
Ushawishi wa mwamposa sioni uko kwenye niniUshawishi wake upo kwa wajinga tu na watu wasiojitambua
DuuhKama ulimsikia Mwamposa wakati anatoa shukrani kwa walio husika na shughuli hiyo.
Alimtaja Katibu wa Rais, jee ni nani huyo? Atakuwa ni yule ametajwa sana na Maria Sarungi bw.Waziri Salum aka Mr Mapete.
Kwa hiyo kuna chain hapo! Tafakari
Neno binti limetumika vibaya mkuu 😁Raisi samia
Binti wa KIISLAM Ametinga mazabahauni???
Ataghafir
Unataka Kusemaje!Ushawishi wake upo kwa wajinga tu na watu wasiojitambua
Viongozi sio wahusika hapoUnataka Kusemaje!
Hata viongozi wetu waliofika hapo wanahusika? Au una maana gani?
Tony haaminiSiku zote picha moja ni sawa na maneno 1,000 angalia Kwa makini hii na useme umegundua nini,
View attachment 3396046