PICHA inaongea mengi

Hawa wasaidizi wa Mwamposa Pastor Tonny (suti rangi ya light blue anayecheka) na huyo Mpemba(mwenye suti dark blue na miwani anyetambulishwa na Bulldozer) ni watu wa System na hili limeratibiwa kuunganisha haya makanisa kuelekea Oktoba kukiwa na vuguvugu la Gwajima na baadhi ya Wachungaji/viongozi wa dini na manabii kuwa na muendelezo wa kuikosoa/kuitabiria mabaya Regime ya Samia.

Swali ninalojiuliza Mwamposa pekee itakiwa msingi wa kurudisha Imani ya Wakristo kwa Samia's Regime hasa Makanisa ya Manabii sababu Antony Lusekelo hakuficha alifunguka wazi kuna baadhi yao wanamchukia namba 1 ila ni wachache mnoo ukilinganisha na idadi ya wanao mkubali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…