Life2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,387
- 4,880
Sio pro Russia wa Kibongo tu hata Warusi wenyewe baada ya Mobilisation kutangazwa tumeshuhudia jamaa walivyokanyagana kwa kukimbilia nchi za watu Georgia tu imewapokea Warusi Laki 7 waliokimbia Mobilisation.
Mwisho wa Siku wameishia kuwafungulia wafungwa jela na kuwalazimisha wazee pamoja na zile jamii maskini kwenda Vitani.