Picha: Ibada ya kumuaga Regia Mtema iliyofanyika Tabata

Picha: Ibada ya kumuaga Regia Mtema iliyofanyika Tabata

Dah...I am just short of words

RIP Regia. Mungu amekupenda zaidi....Thanks TF
 
Asante kwa picha mkuu tupo pamoja Mungu azidi kuwatia nguvu.Apumzike kwa Amani dada yetu mpendwa.
 
Yaani naumia saaaaana najikuta naendelesa kulia kimoyo moyo tu, for how long kwa kweli sijui maana kila dakika siamini kuwa ni kweli huyu dada hatunaye, it is as if she is somewhere....
 
Asante sana T F, yaani sijui niseme nini, nazidi kuumia tuuuuuuuuuuuuuuuu
 
TF, thank you for sharing with us these souvenirs. We Cherish the Life of our beloved REGIA and thank the almight God for giving us the person in REGIA. We love you REGIA! Rest In Peace REGIA!
 
aisee inauma sana wakuu......huyu dada nilikuwa namuona kama ni mmoja wa "Mussa" wa kutufikisha kaanani....rip regia..
 
Upumzike kwa amani dada regina, tutayashika na kuyaishi mazuri toka kwako, tuko kwenye njia moja, upumzike kwa amani bwana ametwaa jina lake libarikiwe r.I.p Regina (1980-2012)
 
Bwana alitoa, na Bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe!

Mwanga wa milele akuangazie, upuumzike kwa amani. Amina
 
kweli maisha ni mafupi jamani na hakuna ajuaye siri ya kifo


R.I.P Dada yetu
 
Naamini Mwenyezi Mungu atampokea kwani mengi aliyoyatenda ni kwa ajili ya ustawi wa bin Adamu wa Mola!
 
Back
Top Bottom