Picha: Huyu ni nyoka wa aina gani? Nimemuua hapa home

Ana weusi mchanganyiko, Hiyo sehemu unayo kaa haina majani au vichaka? Huyo nyoka ni mkali hata mate yake pia ni hatari.

Mate ya nyoka ndio sumu yenyewe huweza kutoa kwa kuchiriza kama atemavyo mate masai au kwa kudunga Kama sindano
kwa kutumia "hollow teeth" Meno ya nyoka yako kama bomba la sindano!
 
Huyu hapa kwenye video anakula msosi

https://www.youtube.com/watch?v=OIlHSlRFyZM

Identification

The Rufous beaked snake can be identified by its hooked snout, large eyes, a dark stripe on either side of the head and its peculiar habit of jerking its head from side to side.
Distribution and habitat

Found in Limpopo, Mpumalanga, southern Mozambique, Zimbabwe and Botswana. Its favoured habitat is moist savanna. It grows to an average length of 1.2 meters and a maximum length of 1.6 meters.
Food

Eats rodents (e.g. rats and mice), lizards, small snakes, frogs, birds and insects.
Predators, parasites and disease

Eaten by other snakes (particularly vine snakes), birds of prey (particularly secretary birds and snake eagles).
Reproduction

Oviparous (egg-laying), usually lays between 7 and 18 eggs in summer.
Longevity

Likely to have an average lifespan of 10 years.
Medical importance

Although venomous is not dangerous to man.

 
Yaani simtaki huyu mdudu,nilikuwa nina plan nikishuka kwenye basi nipige bia 2 kabla ya kulala siendi tena wacha niende nyumbani kulala.
 
Umefanya makosa kumuua huyu nyoka, huyu ni nyoka mpole hana sumu yeyote anaua kwa kunyonga yaani strangle killer. Na chakula Chao kikuu ni panya.

Anaitwa House snake.
 
Huyo ni nyoka anaeitwa msanga. Tabia yake ni kuishi kwenye maeneo ya mchanga na huwa wanakaa wengi kwenye shimo moja. Sio nyoka mkorofi ila ukimchokoza anaweza kukudhuru. Ukimuua mmoja usilidhike kuwa umemaliza tafuta shimo lake maana hukaa shimoni ,Utakutana na wengine tu.
 
Acha woga huyo ni Boomslang tu, hana shida sana!! Siku nyingine ukitaka kumjua nyoka kwa urahisi tunapitia kwenye kumtazama kichwa, sasa wewe umekiponda.
 
Anaitwa RUFOUS BEAKED SNAKE(RHAMPHIOPHIS ROSTRATUS)anauma but hana sumu,anapatikana maeneo yote ya pwani ya bahari ya hindi kwa E.Africa.Anaishi sana kwenye mashimo na anataga mayai kuanzia 4-15eggs.Anakura jamii ya panya,baadhi ya nyoka wenzie,mijusi na vyura,na some times wadudu jamii ya panzi.
Pia anapatikana kusini magharibi mwa Tanzania!!!

Sahihi kabisaa nimeproove hilo mkuuu
 
kwa mazingira ya hapa dar nyoka ni mdudu wa ajabu kuonekana na ni hatari sana
jitahidi kuchanganya maji ya chumvi na mafuta ya taa hen mwaga maeneo ya kuzunguka nymba na katika vyumba vyote
unajua chumvi haiyeyuki kwnye mafta ya taa so yeyushan kweenye maji kwanza

Hata mafuta ya samli Original,basi hata kama yupo mbali hajongelei nyumba
 
Huwa natembelea jamaa na marafiki maeneo ya Tabata...huko wanapatikana hao nyoka.....mimi nakaa mbweni na sehemu kubwa bado kuna majani hakujajengwa,huku wanawezapatikana pia.
 
Huyu Nyoka kwa Kifipa tunamwita ''N'ndalu'' au ''Mlalu'' , ni kweli ana speed sana na nadhani umempiga kwakuwa yupo kwenye mchanga kwenye nyasi usinguweza.

Hao huwa wawili, ila hana sumu sanaaa, na huchapa miguuni
 
Aseh pole.

Watu huwa wananiuliza lini utakuja kutembea kijijini huwa najibu nipo busy napiga na maisha mjini lakini ukweli NYOKA ni sababu kubwa inanifanya nisiende kijijini hawa viumbe nawachukia na kuwaogopa kama ukoma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom