Itakua ya kuongeza nguvu ya kiumeDawa gani
Kabisa mkuu hii hunisaidia sanaDemu akiwa na tako kubwa ndiyo dawa ya nguvu za kiume
Mwingine huyu huku, wametushambulia kama mpira wa konaItakua ya kuongeza nguvu ya kiume
Uko sahihi kwa 💯%.Demu akiwa na tako kubwa ndiyo dawa ya nguvu za kiume
Shida ni kuwa je, hapa tunasolve tatizo au tunapunguza dalili zilizopooo???Kwa wenye ufahamu wa hili jambo analozungumzia Daktari wa urolojia atufafanulie lieleweke
View attachment 3303649
Anaitwa dokta nani?! Nimtafute private..Kwa wenye ufahamu wa hili jambo analozungumzia Daktari wa urolojia atufafanulie lieleweke
View attachment 3303649
Wametukomalia sijui kuna niiniHii nchi kumbe ina wataalamu wengi hivi. Ila field za wataalamu hawa hazina mchango wowote......anyway acha niishie hapa
Na mkojo mtanyweshwa!Tutalishwa hadi mavi sasa