Picha huongea mengi kwa maana hii

Picha huongea mengi kwa maana hii

Hauko long sana nimependa hapa "kitukizuri hakiwezi kuwa kimekauka,kupauka,kupukutika" hapo tu kumeleta tafsiri ya utunzaji haijalishi kutunzwa ama kujitunza.

nilichokuwa nataka kukuonyesha hapo ni matokeo kwa maana nzima ya picha huongea mengi,matokeo ya utunzaji wa msitu ndio maana unauona hivyo.
Pia hapo inaonyesha ustadi! ama ubunifu kwa maana ya uundwaji wa kile unachokiona ktk picha,
kwa tafsiri nyengine inaonyesha uhai kama tujuavyo miti pia ina uhai kwahiyo kwa mustakabari huo it show there is life.
sasa angalia hivyo vitatu ustadi,utunzaji na uhai hicho unachokiona hapo ndio matokeo.
i think you get me
Elimu yako tafadhali isije ikawa najibizana na jiniazi.Zoezi hili limenifurahisha sana ubongo unachangamka lete nyingine.
 
ha ha me sio jiniaz
ngoja nichek ntakuwekea give me time...
 
1454091166996-jpg.320034
@mama kubwa hiyo hapo kazi kwako... hiyo picha ilinifanya nikatoka na buku ten! kutoka kwa mshana jr thanks kwake...

Tahadhari kwa wanaojua tafsiri keep quet this is for only one mama kubwa coz ameomba!
 
Hii mpaka nikanywe supu ya pweza halafu umemtaja MSHANA LAZIMA NITULIE.Pepo (jini) limenasa mtegoni mamawee kuna nyavu nani kavuliwa? Yaani tena ni juu bati.Jamani kuna mtu kanasa na huyu si mtu mzuri mwenye nyumba aliweka mtego juu ya bati.Kenzy naomba elfu tano pasu kwa pasu ile msimbazi.
 
Ha ha ha hela nishagaila kitambo! uchumi umebana no money here!
wanasemaga mtoto akililia wembe mpatie!
 
Ndio maisha yalivyo, kama wanavyosema vidole havilingani!
 
Back
Top Bottom