KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,635
- 89,398
Watu husema picha huongea mengi kwasababu huonyesha matokeo!
matokeo ni kile kinachoonekana kwenye picha na matokeo huwa na maana fulani ambapo maana hiyo ndio msingi wa picha hiyo.
Mfano mwanafunzi husoma na kisha hufanya mitihani yale majibu ya mitihani ambayo ndio matokeo ya kile alichokifanya ndio kama picha ya kile alichokuwa anakifanya katika masomo yake.