Hatujuwani
Member
- Oct 11, 2011
- 51
- 10
Sema wewe kama wewe hizi picha zinakukumbushia wapi? au unakumbuka nini?
ziko wapi?mmmh.... hapa ukikurupuka tu umekamatwa.......
hahaaaaaha hii ya mtani wangu , mzee wa hekima ana akili mingi inawakumbusha wapi ?
![]()
aiseee hii noomaaaje hii pic inawakumbusha nini na wapi
![]()
sasa nani aniambie hii anaikumbuka sana eti kalewa Cocacola, wacheni ushamba , ccm huwapa Gongo hawa jamaa
![]()