nguvumali
JF-Expert Member
- Sep 3, 2009
- 4,927
- 1,342
huyu mbona suruali imeshushwa...hajatendwa kweli?
HAHAAAH PUNGUZA UDADISI MAMBO YA CCM kulewesana, sasa kinachofuata.........
huyu mbona suruali imeshushwa...hajatendwa kweli?
hii inanikumbusha maulidi tanga barabara ya 13 na kule mabokweni, mtimbwani,maramba na moa. Ndyoko uko wapi na hii avatar yako?je hii pic inawakumbusha nini na wapi
![]()
hii picha inanikumbusha mambo mengi sana
![]()
sasa nani aniambie hii anaikumbuka sana eti kalewa Cocacola, wacheni ushamba , ccm huwapa Gongo hawa jamaa
![]()
igunga.Nalog offje hii pic inawakumbusha nini na wapi
![]()
aibu babu.Nalog offhii picha inanikumbusha mambo mengi sana
![]()
Duh!!!!HII KALI SANA,IMENIKUMBUSHA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM,HAPO MNAWAHI LECTURE ZA ASUBUHI!!!!MABIBO HOSTEL!!!!HAHAHAHAHAHA!!!SIJUI SIKU HIZI KUMEBORESHA AU MTINDO HUUHUU!!!SASA KWA WALE WAKAZI WA HAPO DAR , hii picha yawakumbusha nini
![]()
mbona mnanitegea, nyie hamna picha za kukumbuka, hata hii hamikumbuki
![]()
Sema wewe kama wewe hizi picha zinakukumbushia wapi? au unakumbuka nini?
hii inanikumbusha nilipokua kijana mdogo naoga na mtoto wa jirani yangu anaitwa Chiku
![]()