Picha hizi zilipigwa tarehe 5 Machi 1955 katika uwanja wa ndege Dar, Safari ya UNO

Huoni tofauti kwenye hizo picha?!
Utifauti upo...kwamba moja ni ya zamani(black and white na nilizoleta ni za kisasa...

Haya...mdau hapa ametupa japo picha halisi..
Naam, unamtaja Sr. Mary Reese, huyu namfahamu sana. Tangu 2012 karudi nyumbani kwao Marekani. Kwa sasa umri wake ni miaka 96, sawa na umri ambao Nyerere angelikuwa nao kama angekuwa hai hadi leo hii...
 
Unisamehe Yericko hilo ni vazi la baibui la asili, limekuwa likivaliwa mpaka kwenye mid eighties.

Kwa umri wangu mimi nimewahi kuvaa baibui za aina hiyo.

Sijawahi kuona masista wamevaa aina hiyo
ubishi n asili yenu Misha karirishwa kungojea bikra 72 akhera
 
Mnamo tar. 7 Julai, mwaka 1954, Vijana (wazee wa Kariakoo) wakiongozwa na Mwl. Nyerere, walikubaliana wazo la kuhuisha chama kutoka TAA kwenda TANU, chini ya uratibu wa karibu wa Wajeisuiti (Askofu Maranta) na Waislamu (Sheikh Issa bin Amir) ijapokuwa alikuwa amefariki mwaka mmoja nyuma, hekima za Sheikh huyu ziliendelea kusaidia. Na zaidi ni kuwa safari ya kwanza ya Mwl. Nyerere ya kwenda UNO tar. 5 Machi, mwaka 1955, kanisa Katoliki lilitoa msaada kwa chama cha TANU wa tikiti ya ndege ya kwenda na kurudi. Lilifanya hivyo kupitia shirika lake la Maryknoll Sisters la New York Marekani.

Si hivyo tu, bali katika moja ya utani wa Mwl. Nyerere wenye ukweli ndani yake, aliwahi kusema kuwa makasisi Walsh na Art Wille wa Shirika la Maryknoll ni mabosi wake, akikumbuka malipo ya Shilingi mia sita (600/=) angali ameacha kazi ya ualimu, akiwa kijijini Butiama. Kuna ushahidi wa kihistoria pia unaochagiza habari hizi kwamba majasusi wa Kanisa walimuandaa Mwalimu Nyerere kuja kuiongoza Tanganyika mpya. Barua ya lugha ya Kilatini, ya kitume, Tot Tangaeque, ya Papa wa Roma, ya tar. 8 Novemba, mwaka 1984, kwenda kwa Kanisa Katoliki Tanzania, inautangazia ulimwengu kwamba Tanzania itakuwa chini ya himaya ya kanisa kwa mwavuli wa Bikira Maria Imakulata.

Miaka thelethini na mbili (32) baadae, Kanisa Katoliki Tanzania chini yaMwenyekiti wa Baraza la Maaskofu Tanzania, Askofu Tarcisius J.M.Ngalalekumtwa, linaijibu barua hiyo kwa barua yenye kumbukumbu nambari TEC/PR/1 ya tar. 10 Novemba, mwaka 2016, likikubaliana na kuitangazia dunia kuwa siku ya Uhuru wa Tanganyika, tar. 9, mwezi 12 ya kila mwaka itakuwa pia siku ya kuadhimisha Sikukuu ya Bikira Maria Imakulata. MSIMAMIZI wa JAMHURI ya MUUNGANO wa TANZANIA....

Hapa nachelea kumtaja rafiki yangu Pascal Mayalla kuhusu wale waliokutana butiama kumuandaa mkatolik wa awamu ya tano

Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli

Kuna uhusiano wowote kati ya uongozi wa juu wa Tanzania na Vatican-Rumi?
Paskali una ID ngapi???

britanicca
paskal Mayala
pasco
 
Hayo ni maoni yake Yericko Nyerere unavyojua wewe. Lakin waliomteta Mwl Nyerere kwenye siasa wakamtoa pale Pugu alipokuwa anafundisha ni Waislam nandio walimvua kaptula wakampa Suluali.
 
bbb.jpg

Picha ya juu hao wanawake ni wanawake wa kiislam,hao wanawake wamevaa mabaibui ya zamani,mabaibui ya kamba shingoni,hamna sister hata mmoja hapo....

Picha za chini ni mfano wa hayo mabaibui ambayo kwa sasa hayavaliwi tena,sema kule Zanzibar bado kuna wanawake watu wazima wachache ambao wanayavaa,..
bai.jpg

zamni.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom