Picha hizi zilipigwa tarehe 5 Machi 1955 katika uwanja wa ndege Dar, Safari ya UNO

Hili Shirika la watawa la Maryknoll ndo waliojenga shule ya secondary ya Kowak Girls pale Rorya....inasemekana kwamba kuna urithi mkubwa wa dhahabu pale...kutokana na utafiti uliofanywa na wataalam wanadai kuanzia futi 13 kwenda chini kuna tabaka la dhahabu ila sasa shule imejengwa pale na kuna Paroko ameshakaa pale zaidi ya miaka 40 anaitwa Father Conrad...hajawah Kutoka pale miaka yote hii...nakubaliana na hoja mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom