Limefanana na "WAR BUS."
Aisee, wewe bila shaka ni kijana wa mwendokasi...ungekuwa wa zamani ungekumbuka picha za clint Eastwood, Bud Spencer, Jim Brown, Nora Miao na wengineo...tehtehtehteh yaani picha za zamani zilikuwa 'noma' sana....
Mkuu hebu fanya kama unaandika majina ya muvi za hao watu niziangaliemo youtube nina vi mb havina kazi hapa
Kiu mbaya sana unaweza kunywa hata kharamu
Like a camel in the desert
Mkuu hebu fanya kama unaandika majina ya muvi za hao watu niziangaliemo youtube nina vi mb havina kazi hapa