Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,794
Nenda upanga yote sehemu zenye miti mikubwa utawaona, usiku wanatoka upanga wanaenda kuzurula sababu ndio wanaona vizuri.
Huyo Atakuwa alichelewa kurudi mtini kukakucha Kwahiyo akawa haoni akagonga kitu
Kumbe popo wanaishi upanga? Daah basi wana maisha bora compared na sisi wa Tabata Kisukuru!