Lazima kuna mtu anakuloga mkuu........hawa wadudu hawapo kabisa mjini.........tafuta fundi kamanda akutengenezee hii hali........si ajabu ni msafiri alikuwa safarini brake zikakataa..........
Wadau nimemkuta asubuhi kadondoka uwanjani mwa nyumba yangu huyu jamaa.
Wapo weng huko dodoma

Nenda upanga yote sehemu zenye miti mikubwa utawaona, usiku wanatoka upanga wanaenda kuzurula sababu ndio wanaona vizuri.
Huyo Atakuwa alichelewa kurudi mtini kukakucha Kwahiyo akawa haoni akagonga kitu
Polo bawa huyo, kama umemuona nyumbani kwako ni dalili kuwa muda si mrefu atakuja kwa ajili ya kazi nyingine inayohusu mtandao Wa 0713