chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 346
- 1,045
@lomomy nadhani umewai kujiuliza sisimizi wanatuona kama majitu makubwa, huu ndo muonekano wako katika mtazamo wa sisimizi
Umenikumbusha kuna animation moja inaonesha jinsi wadudu watambaao na warukao wanavyotuona mijitu mikubwa halafu tupo slow kwenye kila kitu, kwao tunatembea kama robotsView attachment 3557663
@lomomy nadhani umewai kujiuliza sisimizi wanatuona kama majitu makubwa, huu ndo muonekano wako katika mtazamo wa sisimizi
nzi akikuangalia anakuona upo skow kama kobe, hata ukitaka kumpiga anakuona unampiga kwa slow motion 😂 ndo maana anakimbia kiurahisiUmenikumbusha kuna animation moja inaonesha jinsi wadudu watambaao na warukao wanavyotuona mijitu mikubwa halafu tupo slow kwenye kila kitu, kwao tunatembea kama robots
chai ya rangi hii ni chai ya rangi. Sizimizi hawezi kuona mtu in detail namna hiyo.View attachment 3557663
@lomomy nadhani umewai kujiuliza sisimizi wanatuona kama majitu makubwa, huu ndo muonekano wako katika mtazamo wa sisimizi
😹😹😹View attachment 3557663
@lomomy nadhani umewai kujiuliza sisimizi wanatuona kama majitu makubwa, huu ndo muonekano wako katika mtazamo wa sisimizi
Lakini kweli 🤭nzi akikuangalia anakuona upo skow kama kobe, hata ukitaka kumpiga anakuona unampiga kwa slow motion 😂 ndo maana anakimbia kiurahisi