Kwani hapo tatzo nnni wajameni? "Charity begins at home!" Unapo andaa viongozi wa kesho lazma uanzie nyumbani kwako. Mtoto ameambatana na wazazi wake kumpokea mgeni sasa kosa lipo wapi? Usifungwe na itifaki za kizungu katika kuonyesha upendo kwa familia yako. We ulitaka awepo nani mbadala? Mbona ma!-raisi wengine kama Obama, Clinton kunawakati wanakuwa na wake zao pamoja na watoto katka safari na matukio ya kitaifa na kimataifa hata nje ya nchi. Tuache wivu na chuki zsizo za kimaendeleo na badala yake tupate neno la kujifunza. Mbona miòngoni mwetu hata kwenye mitoko mwaenda na mahawala badala ya waume au wake zenu. ".....umleavyo ndivyo......"