Picha hii sijaelewa japo so interesting

Picha hii sijaelewa japo so interesting

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,905
Reaction score
9,335
cartoon.jpg
Mwenye majibu yake tafadhali!
 
CCM wamenyongwa na hao wengine peoples power

hayo maneno yamenichanganya pia....its like mahakama ndio inaimplement hiyo adhabu
 
Wananchi wanawatabilia magamba kuwa siku moja watapata hukumu stahiki kwa maovu waliowafanyia wananchi!!
 
Mh acha tuu nipite na niendelee kumwomba Mungu akutane na haja za mioyo ya Watanzania!
 
Kwa uweleo wangu Kungoa mzizi ni heri kuliko kunyonga kwa kamba !! Kwani mizizi ikibaki yaweza rejea !!
Tujifunze kwa wakulima wao wasemajee ?
 
Mbona MADECHA wamefunika nyuso kama KKK?
 
Watu wanafikiria kweli yani hapa ni sehemu ya kutolea hukumu!
 
Hapo ni kama mahakama itafutilia mbali mpango wa CCM kutaka katiba mpya wanayotaka wao na si wananchi wanayotaka. Ila sidhani kama ni CDM. Wao wanawaelewesha wananchi kinachoendelea ili siku ya siku wajue hali ya maisha yao inategemea sana katiba ya nchi.
 
Inaonesha chama chenye mrengo wa utumwa wa watu weupe, hata miili yao kwenye picha inaashiria hivyo,"white supremacists" kikiota kuwanyonga na kuwadhulumu chama cha kizalendo cha wanyonge walio wengi kwa matakwa tu ya mabwana zao Ku Klux Klan (the Hooded Order).

=0050_ku_klux_klan_03.jpg



Soma zaidi: KKK Acts of Terror - KuKluxKlan.net is a historical reference site for the ku klux klan. The site entails reference articles for users researching kkk history and ranges in scope from biographies to philosophies held by the ku klux klan - Ku Klux Kla
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom