Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Ni kama yupo shamba analima.
Akili inachemka vizuri.Ni kama yupo shamba analima.
Dah! Unavuna ulicho kipanda, mojabeti mbaya sana.
Kubet , upenzi wa mpira kupita kiasi ni ujinga unakuwa kwa kasi Tanzania.Kubet ni janga usipozingatia masuala muhimu katika maisha.