Picha hii inatisha:Supu ya nyoka!

nenda any chinese restaurant utapat hiyo supu
 

we ! senene unawalinganisha na NYOKA? utafungwa wewe! ile ni kitu nyingine kabisa tofauti na nyoka,kuna watu humu wanaweza kundamana wakisoma thread yako!
 
Mbona sioni cha kutisha hapo mkuu, kwa kichina huwa tunaiita 蛇汤 (she tang)
 

Wanaoweza kumpika nyoka na magamba yake ni ccm tu!!!
 
Mungu akaona vyote alivyiviumba ni vema tena ni vema sana mwanzo 2:26
 
Mbona mnakulaga bila kujua,we unadhan supu,miskak au nyama choma zote unazonunuaga mtaan ni za ng'ombe!!?
 
Mbona sioni cha kutisha hapo mkuu, kwa kichina huwa tunaiita 蛇汤 (she tang)

She tang??!! (sounds like "Shetan") nadhani hata kwenye vitabu vya dini mdudu huyu ananasibishwa sana na Shetani.
 
She tang??!! (sounds like "Shetan") nadhani hata kwenye vitabu vya dini mdudu huyu ananasibishwa sana na Shetani.

hahaha haitamkwi kama inavyoandikwa...kumbuka hicho ni kichina.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…