Mathias Byabato
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,055
- 781
Watani zangu mnaogopa nyoka hata akiwa amepikwa? Au hii picha inatishaje labda mi sijaelewa, mi naona inatamanisha tu. Waache kukutisha senene unaokula with their naked eyes uogope roast ya marehemu nyoka!
By the way, mtu amewezaje kumpika nyoka na magamba yake?

Mbona sioni cha kutisha hapo mkuu, kwa kichina huwa tunaiita 蛇汤 (she tang)
Eeeeh na magamba yake?
ting bu dong. Mei guangshi! Ni jiao shen men minze?mbona sioni cha kutisha hapo mkuu, kwa kichina huwa tunaiita 蛇汤 (she tang)
Mbona sioni cha kutisha hapo mkuu, kwa kichina huwa tunaiita 蛇汤 (she tang)
.ni kweli...xie xie (thank u)
ting bu dong. Mei guangshi! Ni jiao shen men minze?
She tang??!! (sounds like "Shetan") nadhani hata kwenye vitabu vya dini mdudu huyu ananasibishwa sana na Shetani.
bu yong xie!!!
Mungu akaona vyote alivyiviumba ni vema tena ni vema sana mwanzo 2:26