Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,671
- 218,175
Inasemekana Bashiru alitumia muda mwingi kumbembeleza mzee Makamba lakini imeshindikana.
siku nyingi !Hola mjomba alishawashitukia
Kikao kimefanyika na kimeisha sasa kiherehere cha Bashiru kumkimbilia Mzee hadi nusura ang'oke meno kimetoka wapi ?
View attachment 1353928
Inasemekana Bashiru alitumia muda mwingi kumbembeleza mzee Makamba lakini imeshindikana .
Kutukanwa kila siku hata ungekuwa wewe ungechokabashiru kachooka sana
Alimbembeleza nini?View attachment 1353928
Inasemekana Bashiru alitumia muda mwingi kumbembeleza mzee Makamba , Je alifanikiwa ?
Mwandiko wako wa kupanga namba na mtirirko wa maelezo haueleweki kirahisi. Kiswahili gani sijui unatumia.Alimbembeleza nini?
1.Kuchukua.garini
2.Akubali kuhojiwa.
3.Ama kama wavyodai wapi ramli kwamba,badili maamuzi ya kujitoa kwenye CHAMA na asirudishe Kadi?
Hata hivyo,Mzee Makamba ni wa Busara na Hekima sana.Atakuj pa kumalizia fundo la kizubau chake. Nimekumbuka wakati fulani katika moja ya hatua.zake Akasema haya nami ninarudi;
1.Uterezi Hunan.JANGA, hata kungwi na hutereza.
2.Lakini mtu mzima akiteleza na kuanguka hatolia bali atabaki kuguna tu.
3.Kama mtu mzima Msuli ukikudondoka,hutoinama na kuokoa bali utachuchumaa ama kukaa chini kujikusanya kusanya.
Mzee,wakati ni huu sasa utuonyeshe kivitendo jinsi ya kuishi ndani ya MANENO YAKO YA BUSARA NA HEKIMA.
"Duniani tunapita tu kwa mwendo kasi"
Sent using Jamii Forums mobile app
True,maana Mzee kafungua mlango akamsukuma halafu akaufungaUkiangalia clip ni kama mzee alikuwa anamsuluma jamaa asiegemee gari
Pale jalalani inaonekana pana njaa kali sana. Mara hii Dr. Bashir ana kitambi na shavu dodo.View attachment 1353928
Inasemekana Bashiru alitumia muda mwingi kumbembeleza mzee Makamba lakini imeshindikana .