Picha hii inakukumbusha nini?

Picha hii inakukumbusha nini?

washwa washwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2012
Posts
1,613
Reaction score
728
206295_201872893167465_3289548_n.jpg
 
the best president ever! he was a NON UFISADI PERSON!
 
Hii picha inamuonesha baba yake LE MUTUS@N.Y alivyokuwa na afya kabla ya kuhamia upare!!
 
NIMEKUMBUKA JINSI JOHN ALIVYOSILIMU NA KUITWA JUMANNE a.k.a J4.
 
Maskini, mdogo wangu Nyerere! Kifo hakina huruma. RIP Julius.

Mkuu kama kweli then wewe ni kikongwe pitiliza.. utakuwa kwenye 90+.. Kama c kweli itakuwa ni dharau kwanza kwa mkubwa wako.. pili kwa kiongozi wako na tatu kwa Marehemu..
 
Inanikumbusha utawala wa huyu mzee, alikuwa anakandamiza sana watu.
 
Mzee Malecela hapo bado alikuwa kwenye chat sasa hivi ni dhoofu wa hali.
 
Kwakeri kama akifufuka nakukuta akina watoto wa wakubwa wanakula nchi hii wanavyotaka anazimia hapoapo jamani, enzi za mwalimu mwenye pesa alikuwa anaiogopa serikali lakini leo nikinyume wizi mtupuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mkuu kama kweli then wewe ni kikongwe pitiliza.. utakuwa kwenye 90+.. Kama c kweli itakuwa ni dharau kwanza kwa mkubwa wako.. pili kwa kiongozi wako na tatu kwa Marehemu..

Nyerere ni "mdogo wangu" kimila na desturi. Yeye alikuwa mtani wetu mzuri sana. Uliza usimuliwe stori ya marehemu Batenga alivyosomba tofali za Nyerere pale kwake Msasani. Umenielewa?
 
Nyerere ni "mdogo wangu" kimila na desturi. Yeye alikuwa mtani wetu mzuri sana. Uliza usimuliwe stori ya marehemu Batenga alivyosomba tofali za Nyerere pale kwake Msasani. Umenielewa?

Mkuu nimekuelewa.. Nashukuru kwa kunielewesha..
 
Inanikumbusha mzee aliyeichukia rushwa na uhujumu uchumi (ufisadi) kwa vitendo na bila unafiki. Baba wa Taifa aliyelipenda Taifa lake. Maskini akakosa support kutoka kwa watu wake. R.I.P Julius.
 
hawa wazee no ufisadi, suti ya mzee mzima iliungua na pasi wakati mama anaianda asubuhiii, nadhani kwa kuwa rate ya ufisadi ilikuwa ndongo, hakuona noma, lakini sasa suti mwapeleka dry clearner Uk, huwezi vaaa hivyoooo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom