Picha hii inakukumbusha nini?

Picha hii inakukumbusha nini?

Maskini, mdogo wangu Nyerere! Kifo hakina huruma. RIP Julius.

Acha utani ndugu yangu, ina maana mwl JkM alikuwa mdogo wako kiumri and still you are browsing JF?
UNA UMRI GANI KWA SASA?
I THINK BEYOND 98.!!!
 
206295_201872893167465_3289548_n.jpg

Le Mutuz Ze Baharia!
 
Acha utani ndugu yangu, ina maana mwl JkM alikuwa mdogo wako kiumri and still you are browsing JF?
UNA UMRI GANI KWA SASA?
I THINK BEYOND 98.!!!

JF haina kikomo cha umri. FB, Twitter na U-tube ndizo huruhusiwi kubrowse ukishavuka miaka 85!
 
Inanikumbusha uongozi uliotukuka wa J.K.Nyerere
ambao uliijengea TZ heshima duniani kote. RIP.
Utakumbukwa daima!
 
Tunamkumbuka baba wa taifa mwenye kujua kulea watoto wake kama afanyavyo njiwa, pamoja kwamba Watanzania walikuwa bado gizani lakini aliangalia madini akayaacha kama yalivyo tofauti na nyang'au za siku hizi ambazo ndani ya mwezi 1 zinamiliki nyumba za M700
. RIP Nyerere
 
Nami na kumbuka aliposema ikulu si mahala pakukimbila!

Jamani hii picha inanikumbusha siku Mwl. Nyerere aliposema Jakaya hawezi kuongoza nchi atatupeleka kucheza dansi na..........ongeza niliyoyasahau.
 
Nyerere ni "mdogo wangu" kimila na desturi. Yeye alikuwa mtani wetu mzuri sana. Uliza usimuliwe stori ya marehemu Batenga alivyosomba tofali za Nyerere pale kwake Msasani. Umenielewa?

Kumbe ndiyo maana miguu yako ina matege!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom