Picha hii inakufanya ujiulize nini?

Kuna ulazima gani maiti kukaa mochwari? Nimeishi kijijini sijawahi kuona hilo.. mtu anafariki anawekwa ndani hata siku mbili then anazikwa
 
Yesu wangu!!! 😥😥😥
 
Wa Africa tunapenda sana Maiti kuliko hata Mgonjwa!!
Huwa nawaza hili nashndwa kuelewa,wengne wapo tayari hata kupgana.
Ila Kuna watu Fulani waliwah nieleza eti mfano mzazi wako au mtu yeyote ambae ana watoto inatakiwa azikwe Karbu na walipo ndugu zake ili likitokea lakutokea mizimu yake waweze kuifikia kirahisi
 
Yaani wanatolewa makwao kijijini walikofariki wanapelekwa mortuary mwendo wa masaa 5 kwa boda boda halafu tena warudishwe kwao kuzikwa? Hii mbona hai make sense? Huko mortuary wanapelekwa kufanya nini sasa?
 
Na hii ndo Miafrika MIMAFIKI INAKAA KUWASEMA WAZUNGU WANATAKA MUWE MASHOGA HUKU YENYEWE INAUANA NA KUPORANA UTAJIRI.
 
maisha ya hapa duniani yanapita, mkumbuke Mungu walau u mzima, kwasababu ukifa hautakuwa na thamani yeyote.
 
Hii mada niliwahi kuiweka kupitia heading hii hapa 👇🏿...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…