PICHA HII INAFIKIRISHA SANA

Fall Army Worm

JF-Expert Member
Jan 8, 2015
19,332
14,255
IMG-20200927-WA0048.jpg
 
Wagombea wa CCM wanaroho ngumu sana. Vinginevyo wasingemsogelea mtu aliyepo ndani ya nyumba hii kumweleza mambo ya ndege, stigila au flayover
 
Wagombea wa CCM wanaroho ngumu sana. Vinginevyo wasingemsogelea mtu aliyepo ndani ya nyumba hii kumweleza mambo ya ndege, stigila au flayover
Km unamfuatilia Mzee wetu muda huu,nafananisha hotuba yake na picha hiyo.
 
Kuna tofauti gani na Lissu anaewatoa nakuwaambia atawapandishia mishahara ili hali bado watu wengi hata ile elimu basics kabisa yakujitambua na kuweza kuajiriwa bado wengi hawana ?
Hongera Magufuli kwa kuleta elimu Bure!!
 
Back
Top Bottom