Picha hii ina maana gani?

Ina onyesha tabia ya ubinafsi. Watu kujihangaika kujiokoa binafsi na kutokusaidiana.

Kama hapo unaona wanavunja boti kubwa ili kila mtu apate mbao za kujengea kamtumbwi binafsi afanye safari ya baharini pekee yake.

Ila ukiangalia ni ngumu sana kusurvive baharini pekee yako....
 
Umeambiwa neno moja we unaandika essay
5tena
 
Kama ni mtihani ange fail kwa kutofuata maelekezo ijapokuwa jibu lake ni sahihi.

Sent from my TECNO S1 using JamiiForums mobile app
Unajuaje kuwa jibu lake Ni sahihi...

Huenda hiyo boti kubwa imeharibika vibaya kwa chini kiasi kwamba wakaona bora watengeneze vi boti vidogo vidogo kw kutumia vipande vilivyo baki
 
Unajuaje kuwa jibu lake Ni sahihi...

Huenda hiyo boti kubwa imeharibika vibaya kwa chini kiasi kwamba wakaona bora watengeneze vi boti vidogo vidogo kw kutumia vipande vilivyo baki
Nje ya Box, mawazo mazuri...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…