Picha hii imenisikitisha sana

Picha hii imenisikitisha sana

Naona mwezetu uko mbali sana njeee kabisa ya mada pole sana mkuu
kwa nini unasema yupo nje ya mada?ni kweli,picha ya muda mrefu sana.ilipgwa 1993,na mpga picha alipata tuzo kwa hyo picha.na alijiua kutokana na msongo wa mawazo,kwa kuwa alilaumiwa sana kwa kutomsaidia huyo mtoto pichani.
 
Joop
Kwa hiyo mtu akisema mada ilishajadiliwa ni kujishaua?

Unajua kwa nini mods huwa wanaunganisha mada zenye maudhui yanayofanana?

Ni sawa kila mwaka tuwe tunarudia nyuzi kwa kigezo kuwa kuna watu wengine hawakujiunga JF?

Mtake radhi Chakochangu
 
Nimejisikia naishiwa nguvu, inasikitisha kwa kweli
 
Back
Top Bottom