Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,048
- 13,495
Kila siku nawaeleza kuwa wanawake wana akili za ajabu na wanavifua wengine wanabisha. Hakuna kama mwanamke hapa duniani kwa akili na kutunga uongoMwanamke alitabasamu utafikiri hajaficha mchepuko. Ila jamani wanawake mwatudanganya sana.
Kila siku nawaeleza kuwa wanawake wana akili za ajabu na wanavifua wengine wanabisha. Hakuna kama mwanamke hapa duniani kwa akili na kutunga uongo
Wengine kwa zaidi ya miaka tuliwaamini ila baada ya kufungua simu zao eheee tukajiona ni viazi tu. Usichezee mwanamke hata siku moja. Heshima kwa akinamama oyeeeNikweli
Wengine kwa zaidi ya miaka tuliwaamini ila baada ya kufungua simu zao eheee tukajiona ni viazi tu. Usichezee mwanamke hata siku moja. Heshima kwa akinamama oyeee
Ni vyema kujua nyoka yupo upande upi ili asikung'ate bila kujua. Ila inategemea umri wako, kama umekata shauri ni vyema na haki kujua password zote za mke wako au mpenzi wako isipokuwa ya Bank tu.Hakuna kitu kibaya kama kupekua simu ya mpenzi. Ni kama kutafuta kaa la moto ulikumbatie lazima utaungua tu.
Nimeangalia Mara 8 sijaona kitu.
huu uzee sasa
Nimetumia uzoefu tu kumuona huyo jamaa kwa vile ilishawahi kuletwa hapa watu tulivaa hadi darubini lol
Dah! Ahsante mkuu yaan ndio nmeona mjicho wa jamaa