Picha:Hii imekaaje wadau wa Siasa?

Picha:Hii imekaaje wadau wa Siasa?

Joseph

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2007
Posts
3,518
Reaction score
1,090
watoto na jezi.jpg
Hivi inawezekana kwa vyama vingine kuyafanya haya?
 
...hata mimi enzi hizo walituvalisha magwanda ya chipukizi...ptuuu..! wameviingiza chaka hivi vitoto...
 
'hivi mbona wanaopigaga hizi kwata iwe labda uwanja wa taifa au anywhere mbona huwa wanatumika sana hawa wakina KAYUMBA wanayumba na kuyumbishwa na kuimba kama mwanayumba mbona sioni wale wa english media na academy jamani kwani wao sio wanafunzi eti,au'
 
Haya ndiyo mambo ya TZ jana nilisikitika kumsikia waziri wa mambo ya ndani mwenye heshima ya udaktari akiongea English ambayo hata mwanangu wa mwisho ambaye yuko nursery school hawezi kuiongea ni aibu mbele ya wageni. ''at the end of the day we shall not have a country" sasa hata hawa kuvalishwa hivi si shida kwani wengi wa watz hatujui tunakoenda. Mungu atusaidie.
 
Those kids are forced to support ccm unwillingly so we have to shout so that they can stop to use our children to populize their party
 
CCM huzitumia baadhi ya shule kufanya ujinga huu.
Je tufanye nini sasa kuachana na mambo kama haya yasitokee tena?Kama CCM wanafanya haya je vyama vingine vikifanya hivi let's say katika jimbo lenye mbunge wa chama fulani akiwa katika ziara mambo yafanyike hivi,inawezekana?
 
enzi ya chama kimoja hii,now sidhani kama wanaweza kufanya hivyo mashuleni,labda vijijini kabisa hasa iramba
Hapana mkuu hii ni ya wakati huu tulionao ambao unadhani haiwezekani lakini inafanyika
 
...hata mimi enzi hizo walituvalisha magwanda ya chipukizi...ptuuu..! wameviingiza chaka hivi vitoto...
Mkuu Gefu nakumbuka wakati ule wa chipukizi kweli tulikuwa tunapiga kwata,lakini nchi ilikuwa ipo katika mfumo wa chama kimoja,leo hii tuna vyama vingi na bado tunayaona haya
 
Huu ni unyanyasaji wa haki za watoto..............baadaye unamkuta nape anaongea eti chama kinakubalika........shit..........Nangojea povu kutoka kwa vijana wake wa buku saba ..........zemarcopolo,kibe,sumu,nchemba,nk
 
Mkuu Gefu nakumbuka wakati ule wa chipukizi kweli tulikuwa tunapiga kwata,lakini nchi ilikuwa ipo katika mfumo wa chama kimoja,leo hii tuna vyama vingi na bado tunayaona haya

mkuu haya mambo ni juzi tu...hata gari VXR linaonekana hapo!!
 
yes hatuwaiti makamanda ila nyinyi ni wapiganaji safi sana
 
Back
Top Bottom