Gefu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 6,929
- 2,567
Mkuu Gefu nakumbuka wakati ule wa chipukizi kweli tulikuwa tunapiga kwata,lakini nchi ilikuwa ipo katika mfumo wa chama kimoja,leo hii tuna vyama vingi na bado tunayaona haya
..ccm hawajajua hili ndo kosa kubwa sana wanalolifanya kwa kuwa "adopt" watoto wadogo bila ridhaa yao, wakijitambua wataichukia milele maana watajiona wapo utumwani,mbaya zaidi wakiua na kukuta M4C wengi ni rika lao...