MKOBA2011
Senior Member
- Jul 12, 2011
- 142
- 27
Aisee I hate this gesh kwanza wao wenyewe maisha yao afadhali ya mpiga debe wa Ubungo malazi tabu,kula tabu,watoto wao kusoma tabu wanakaa kuwadhibiti watu ambao maisha yao afadhali wameamua kutetea wanyonge kwanza huyu Kova anafukuziaq ukuu wa jeshi lapilisi nchini nini maana kila wakati namuona yupo mbele front kuzuia maandamano ya watu kwa kutekeleza agizo la magamba asomi alama za nyakati kuwa muda wa Magamba kufika ukingoni umefikaq sasa sijui nae keshaanda makazi nchi za watu au anataka sifa tu kwani police is not proffesional ukistaafu unarudi uswasi kusugua benchi na CCM wanayoitetea is lo longer active anytime wanaaga mashindano watu tupo milioni 40 magamba yapo milioni 5 watu hatuna vyama lakini for CCM hapana waende wakapumzike tu 2015 chama ni kichafu hata kama baadhi ni wazuru btu wapo kwenye uchafu automatically nao ni wachafu uwezi kuweka sahani ya wali kwenye pipa la uchafu ukamwambia mtu pipa tu chafu ila hii sahani ya wali ni safi kula.Police viapo vyenu vinawaweka kwenye umasikini ambao hamtohusahau maishani mwenu angalieni hapo mlipo wote ni wale mliochoka kimaisha wakubwa wanawatuma wao hawapo hapo ikitokea zali hapo wanawasahau na kuzipa familia zenu kifuta jasho cha sh laki moja kama umesoma upo hapo nakusikitikia you are the iron boy also?Poleni maana hamjui mtendalo alafu acheni kuwa ombaomba mnapolinda bank mnabuguzi wateja maana mmekuwa kero,Wekeni zenu bank kama mnazo maana mmekuwa wafuasi wa magamba kama watu wa kiji9jini nyumba ya nyasi juu bendera mpya ya CCM.Kazi njema siku hizi hatuandamani kwa msafara tunaandamana kisomi mtabaki hapo mnapigwa juwa sisi tunakula zetu viyoyozi na kupanga mikakati ya kuking'oa Magamba madarakani.Wanaogopa maandamano kama nini waambieni lipo jeshi kubwa la wanafunzi wa kata na vyuo vikuu ambalo hawana kazi wajipange maana imekula kwao.Tchao