PICHA:Heche anywea FFU watanda njia ya kimara Ubungo..

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
ff1.jpg
ff.jpg
 
Eti tuko kazini, kazini wakati mnaotaka kuwazuia wanatetea maslahi ya taifa lenu!
 
Kichwa cha habari hakiendani na content!
Heche haonekani popote kwenye hizo picha, na who knows kwamba ni za leo!?
 
Hapa ndipo huwa najiuliza wakati mwingine,polisi wote hawa na silaha zote hizi ni kwa ajili ya nini?Kama mtu anapita barabarani bila kufanya lolote kuna haja gani ya kutumia nguvu zote hizi kwa ajili ya watu wanaotaka kuleleza hisia zao?
Nimegundua kuwa serikali yetu inayaogopa sana maandamano baada ya kuona mifano nchi nyingine yalipotumika kuwaondoa watawala.
Nimemsikia waziri mkuu akisema kuwa maandamano yanawafanya washindwe kufanya kazi au kila mara peoples....power,inawanyima usingizi hii kauli maana wanajua tu wananchi wakihamasika nchi haitawaliki.
 
Kweli Gov Ya Ccm inaogopa maandamano ile mbaya. Wanaogopa nini??
 
Msipige mayowe sana leo wanawalinda wao kesho watawalinda nyie kwa style tena zaidi ya hiyo
 
wape pole maana watashinda na njaa hao polisi na wakati chadema wanawatetea kwa maisha magumu wanayoishi siku zote
 
wangewaruhusu kufanya maandamano yao cku iise kuliko kuwanyima uhuru wao ambapo sasa watatafuata njia nyingine za kudai maandamano yao
 
yaaani hawa ffu WAKATI NAISHI Ukonga miaka ya 90, walikua wananipiga sana mizinga ya bia, ni maskini sana, lakini wanatumika kunyanyasa wanaopigania maslahi yao, inasikitisha sana
 
hiv we gamba unawatoto kweli?
Mkuu watoto anao na shida anazo sana, hapa anaandika kwa ajili ya maslahi tuu si toka moyoni. Mchana anapita pale Lumumba wanahesabu post zake za leo kisha anachukua posho yake.
Umasikini wa kipato si mchezo!
 
Vibaka wanaua kila siku na kuiba vitu vidogo kama simu na laptop, hawa jamaa huwaoni wakitumia hizo taarifa za kiintelijensia ila wakiona watu wanadai haki yao wanakimbia wakati hata wao wanaibiwa sana na hali zao za maisha ni ngumu na mbaya sana wao hilo hawajiulizi!!!
 
Back
Top Bottom