Picha: Hawa ndiyo watu maarufu wasiopokea wala kutoa Rushwa

Kwa Dr Shein sio,anamagari makubwa ya mchanga,amewakodishia wakandalasi wa barabara na majengo.

Unataka kuniambia unafahamu mshahara wake na kwamba hauwezi kununua malori ya mchanga kwa miaka kumi na ushee aliyotumikia ikulu?
 
Aaaah mkuu sio bana mbona kamanda mbowe sijamuona, kwa hiyo yy anakula sana mlungula?
 
hapo labda shein na pengo kwa baaali. maana inategemeana unadefine rushwa kivipi.
unaongelea lisu yupi? huyu aliyepiga mil 180 kwa ujio wa lowasa? tumia akili kufikiria.
mtei kapiga bil 5, mbowe naye bil 5. lisu na salum mwalimu mil 180, lema mil 120 na msigwa mil 130.

Hawa ndiyo viongozi na watu wenye ushawishi mkubwa hapa nchini ambao wakikemea rushwa hata sura zao zinaonyesha na kumaanisha wanachosema. Hata km una deal lako hawa ndo watu ambao hawaingiliki..! View attachment 273351
Dr.Ali mohamed shein.View attachment 273352
Dr.Wilbroad SlaaView attachment 273353
Tundu Lissu.View attachment 273355
Mwadhama Polycarp Pengo.
 
Tanzania tunapoenda tutaamini hata ndoto za vichaa kuba watu wanakuja na propaganda then wanaojiita greatthinker kuaminu story za vijiweni
 
Kutokuwa na uadilifu na kuchaguwa viongozi watakaofata matakwa yako bila ya kujali maslahi ya Taifa ni RUSHWA pia. Jee Dr Shein alifanya sahihi kumfukuza AG wa Zanzibar kwa kutowa ushauri wa kisheria kwa maslahi ya Zanzibar? Jee Dr Shein kakemea kufukuzwa uwanachama Mansour Y Himid muweka hazina wa CCM ZNZ kwa kutowa maoni yake binafsi ya Serikali tatu wakati mbunge Kesi hafichi hisia sake juu ya hilo na mpaka leo hii ni mbunge na kapita kwenye kura ya maoni. Jee msaidizi wake Seif Ali Iddi akipokea rushwa hapati taarifa na kachukuwa hatuwa gain? Mbali kunyimwa haki za msingi wananchi wake kujiandikisha kupiga kura na kupigwa risasi na vyombo vinavyokusudiwa kuwalinda na kusimamia amani na yeye kunyamaza kimya. Maalim Seif yuko mbele ya Dr Shein when it comes to moral condemnation! Rushwa si fedha taslimu au fat cheque tu. Favourism is bribery
 
Aaaah mkuu sio bana mbona kamanda mbowe sijamuona, kwa hiyo yy anakula sana mlungula?

11825027_672676452863728_4460930917039768475_n.png
 
J K Nyerere alisema haitoshi wewe kuwa mwaminifu usiyependa kutoa wala kupokea lakini pia uwaambie jamaa zako ikulu ni mahali patakatifu,je kuna mwenye sifa hiyo hapo?
Yeah,nna uhakika hao ndo wenye uwezo huo pekee! Kuna watu wanamsema dr.shein humu,nadhani ni kwa kutokumjua! Njia nzuri ya kuwajua hawa viongozi jaribu kufanya research kwa waliofanyakazi au wanaofanya kazi chini yao au juu yao na hata kwenye familia zao. Hapo ndo utaamini hiki nilichosema hapa.
 
hapo kwa kadinal pengo kuna shida mbona wale maasikofo wake walipewa rushwa ya eskro hakusema neno?
 
Ina maana ccm msafi mmoja tu hakuna ata viongozi Wa kaya waliopita hata mkuu Wa kaya naye mla rushwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom