Picha: Hawa ndio walipuaji mabomu Arusha


Unaweza kuwa na mchango mzuri ila usieleweke vizuri kwa ajili ya uchanganyaji wa lugha. Kwani kwako kuandika kiswahili fasaha kinachoeleweka na kukubalika kwa waungwana unapata shida gani? Hizi lugha za face book ukizileta jukwaa hili la great thinkers wengi hawatasoma post yako.Unaruhusiwa kuandika bandiko lako hata kwa lugha ya kiingereza ila uwe na uwezo nayo.
 
chadema semeni sasa;
Je kwa hilo nalo mtakataa?
Lema ukoo wa lema yaani familia ya lema godbless, looh.
Mngeweza huyo lema mngembadilisha jina mapema;


We bibi kalee wajukuu uko nyanzobe
 
chadema semeni sasa;
Je kwa hilo nalo mtakataa?
Lema ukoo wa lema yaani familia ya lema godbless, looh.
Mngeweza huyo lema mngembadilisha jina mapema;
Ngoja nikuache tu maana niliyokupa ya moyoni yanatosha


Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
.
Vema kama wangeweza wangewatia vitanzi wote tuwasahau kabisa.
mkuu hao ni wanachama wa chadema?naana si tulisema chadema wamejilipua pale A town?na je vipi zile million Mia za Lukuvi zimeshatoka?
 
 
Bado tunataka kujua ile milipuko ya olasiti na soweto. Isije kuwa haya ni kufunika tu mambo yaliko anzia. Mtoto wa mkulima alifikishwa mahakamani kwa kusema "wakileta fujo wapigeni" lakin aliyesema atahakikisha nchi hii haitawaliki na kisha kutokea milipuko ya mabomu na tindikali ka achwa na madhara yanatokea kama hivyo tusikiavyo na wengine wakiona madhara wazi wazi
 

Movie nyingine ya ccm hiyo. Mtu kama wewe hawawezi kukusikiliza. Wao Wanataka maslahi yao kwanza. Sasa hivi wanajiweka sawa kwa uchaguzi mwakani kwani wanajua fika wataulizwa swali la usalama wa raia.
 
Ndevu ni Sunna. Walisema pia kuna Imamu,sijui ndio yupi hapo?
 

Mkuu nashukuru kwa kulisema hili, maana watu wengi (reference majibu hapa JF) wanatumia miwa ya udini kusoma na vinywa tumelewa pombe ya udini tuliyonyweshwa na wanasihasa kwa malengo yao. Naona wamefanikiwa kutugawanya. Amka wewe mtanzania kamataa ubaguzi wa kila aina.
 
Kama kawa maustadh. Hapa hawana kazi na hawakusoma ila wanataka watu wote waishi kama wao. Hawa watu hawa jamani, hivi kwa nini wasipigwe mvua ya maisha jela?
 
ukitaka uwe gaidi au jambazi bila kushikwa haraka usiguse wahindi

kila aliyekorofisha wahindi tanzania hakufika hata wiki alidakwa na kushughulikiwa.... nilipata hiyo fact kutoka kwa mhindi mmoja alikua keshakunywa amelewa

na alitoa mifano zaidi ya kumi kwa kila aliyemdhuru mhindi, alishughulikiwa hata kama ni traffic offense...
 

yani muuwe watu alafu ujifiche kwenye kivuli cha dini? Endeleeni na mabomu yenu kama hatujamuita Muisraeli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…