Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
Mkuu, kwani wote waliokamatwa wanafuga ndevu? Hakuna uhusiano kati ya ndevu na ugaidi. Hata Prof Baregu naye anafuga ndevuHivi hizo ndevu na ugaidi vinamahusiano gani?
Mkuu, kwani wote waliokamatwa wanafuga ndevu? Hakuna uhusiano kati ya ndevu na ugaidi. Hata Prof Baregu naye anafuga ndevu
Inshaalah haki itajulikana kama kweli wanahusika au ni usaniii mwingine polisi
kila mwenye akili timamu hawezi kuunga mkoni mauaji ya watu wasio na hatia na hawezi kuwahukumu au kuwatukana kundi la watu kwa makosa ya watu wengine.
Udini unaopandikizwa na baadhi ya watu utaleta maafa makubwa katika nchi yetu na duniani kwa ujumla.
Mwenyezimungu ibariki tanzania,
Maneno ya busara sana hayaInshaalah haki itajulikana kama kweli wanahusika au ni usaniii mwingine polisi
kila mwenye akili timamu hawezi kuunga mkoni mauaji ya watu wasio na hatia na hawezi kuwahukumu au kuwatukana kundi la watu kwa makosa ya watu wengine.
Udini unaopandikizwa na baadhi ya watu utaleta maafa makubwa katika nchi yetu na duniani kwa ujumla.
Mwenyezimungu ibariki tanzania,
teh,teh yaani hawa watuumiwa.asalam aleikum ndugu watuhumiwa
Hata Maalim Self alikua anafuga ndevu alipoona hailipi akanyoa!Mkuu, kwani wote waliokamatwa wanafuga ndevu? Hakuna uhusiano kati ya ndevu na ugaidi. Hata Prof Baregu naye anafuga ndevu
A point of correction. Sasa hivi ni Washitakiwa. Walikuwa watuhumiwa kule Polisi. Mahakamani hakuna watuhumiwa.teh,teh yaani hawa watuumiwa.asalam aleikum ndugu watuhumiwa