Mbogela
JF-Expert Member
- Jan 28, 2008
- 1,384
- 257
sasa mbona wote tunaishia kuulizana maswali?
kwasababu wote hatuna majibu na tunaamini kuna mtu mmoja ana majibu ya maswali yetu.
sasa mbona wote tunaishia kuulizana maswali?
...Kuna umuhimu sana wa kuwa na camera popote pale nchini hasa kwenye maandamano ya CDM ili kuweza kupata ushahidi kama huu. Bila kuwa na hizi picha polisi magamba wangelibadili hili ili kuonyesha waliofanya mauaji ni CDM....
umeona huo moshi ehe?jamaa hajamhasi mwenzie kweli?Na wanavyojifanya vidume.Naomba asife, wanawake wasipate karaha za polisi kuwatomasa hovyo wakifika vituoni peke yao.Tume itumie hii picture kuangalia trajectory ya fire.Haya makitu kama nyumbu akili za depo mpaka leo?Picha kwa hisani ya Blog ya Ancle Michuzi
ana bahati maneno hayaui.ona kwanza sura yake ilivyo ya kibandidu utafikiri ni malaika mtoa roho, yaani nikimwangalia napatwa na kichefuchefu
kibali cha kuandamana hakitoki polisi ila kipo moja kwa moja kwenye katiba ya tanzania,na polisi hawahusiki na utoaji wa vibali pili mwangosi hakuwa akiandamana alikuwa kazini.hebu mwulize swali hili kama mwangosi angekuwa baba yake angekuuliza swali kama hili.ila nimegundua watu wengi hatuzitumii elimu tulizopata kuboresha maarifa na hekima zetu bali tunasoma ili tupate kazi,na matokeo yake ndio unapata maswali kama haya.elimu haiongezi busara kaka mwache na mawazo yake.we lijitu mwinzio nimetoka kwenye ban juzi tu usiniongezee nyingine swala la hiko kikaratasi unachoita kibali na roho ya mtu wapi na wapi kwani walikuwa wameomba kibali cha uwindaji na wamenyimwa wakaingia polini kama majangili? na uwalipue na rpg umbali wa mita moja? uoni kuwa ni wehu kuchukua roho ya mtu kwa kuwa hana kibali? ili atukubali tunawavutia pumzi kama kuchinja kobe (timing)