Bro nmecheka sansNamba 3 ndo kaniacha hoi sa sijui alibinuka wakati wa kupiga picha maana haya sioni kama camera imewaelekea maharusi hahahahahah
Itakuwa alikaa posi la hatari baada ya kuphotoa akakosa balance ndio yakamkuta hayo masaibu.Kiukwel no.3 sijamuelewa...aiseee nmecheka balaa