October 29
JF-Expert Member
- Nov 5, 2024
- 3,143
- 4,445
Yesu mbona aliuliwa piaKwa nini Allah alishindwa kumlinda gaidi Ayatollah khamenei???
Yesu mbona aliuliwa piaKwa nini Allah alishindwa kumlinda gaidi Ayatollah khamenei???
Hujajibu swali,Yesu mbona aliuliwa pia
Yani nilie huku gaidi Ayatollah amefariki,au nyie ndio mlie?Cry more 🤣
Yani nilie huku gaidi Ayatollah amefariki,au nyie ndio mlie?Cry more 🤣
Furaha yenu ni ndogo sana na haidumu kama furaha ya mwanamke aliyejifungua ingawa miezi tisa amepitia mateso.Nimeipenda hii
Kumtungue benja haiwezekani,yule sio gaidi Ayatollah ambaye aliuliwa kama kifaranga cha kuku na hata Allah mwenyewe alishindwa kumlindaAcha nao wapigwe, wamezidi kuonea wengine. Wamtungue Benja
Hamna kiongozi aliyekufa.Viongozi wangapi wameuwawa huko?
Wote magaidi hata yeye Benja. Kaua wangapi hapo GazaKumtungue benja haiwezekani,yule sio gaidi Ayatollah ambaye aliuliwa kama kifaranga cha kuku na hata Allah mwenyewe alishindwa kumlinda
Kwa nini Allah alishindwa kumlinda gaidi Ayatollah khamenei???
Ikiwa kweli Yesu aliuawa kama mnavyosema mpaka kutundikwa msalabani, basi yeye ndo alikosa kabisa ulinzi. Mana aliuawa kwa marungu na mapanga tu wala hazikuwa risasi au bomuKumtungue benja haiwezekani,yule sio gaidi Ayatollah ambaye aliuliwa kama kifaranga cha kuku na hata Allah mwenyewe alishindwa kumlinda
Hasa hapa uwanja wa FisiKwa sasa Manzese inaonekana nzuri kuliko Tel Aviv.
Mfia dini huyo hana anachokijua kuhusu hii vita.Allah kama unamaanisha Mungu basi elewa Mungu hajihusishi na Mambo ya wanadamu
Bifu lako na kobazi lilianzia wapi 😁Wameua viongozi wangapi mpaka sasa kama ilivyo kwa gaidi Ayatollah kombora moja tuu akiwa anafuturu tukala kichwa 😂
Mungu hajihusishi na mambo ya binaadamu kivipi Tena situna ambiwa kwamba Kila kitu mungu ndiye anayepanga !?Allah kama unamaanisha Mungu basi elewa Mungu hajihusishi na Mambo ya wanadamu
Dahh 😄Ikiwa kweli Yesu aliuawa kama mnavyosema mpaka kutundikwa msalabani, basi yeye ndo alikosa kabisa ulinzi. Mana aliuawa kwa marungu na mapanga tu wala hazikuwa risasi au bomu