Picha: Hali ya Telaviv ni mbaya

Picha: Hali ya Telaviv ni mbaya

Hiki ni kipigo cha usiku kucha cha makombora ya Iran

Wanapigwa kama mbele yaani wamechokoza nyuki sasa wanaplay Victim card

Na haya yote utasikia walokufa ni watano tu.....Wazee wa kuficha madhara

Hizi picha zimeleak kwa shida sana maana wameondoa live Coverage zote

Israelis no longer receiving proper warnings of Iranian strikes.

Iran has wiped out the entire US THAAD and Patriot radar system in the Gulf using $50k drones. It will cost billions and take a decade to replace.

INCREDIBLE BREAKING NEWS
TEL AVIV TONIGHT: IT'S TOTAL CHAOS

Iranian missiles raining down relentlessly, residential neighborhoods torn apart, buildings gutted, craters in the streets, black smoke everywhere
Direct impacts confirmed, mounting human casualties, severe injuries from shrapnel and debris

View attachment 3555840View attachment 3555841View attachment 3555842View attachment 3555843View attachment 3555844View attachment 3555845View attachment 3555846View attachment 3555848View attachment 3555849
Ewe kobaz ulitaka iwe kinyume chake ?!
Mbona hamueleweki..
 
Israel kachomeshwa na USA anaua watu wake kijinga sana hapo watawadanganya mapimbi kuwa wote walikua kwenye shelter haya hao zima moto wanafanya nini na wametoa macho balaa..
Sijui huwa wanawaza nini kuanzisha vita isiyo na kichwa wala miguu huku wakijua madhara yake ni makubwa sana..
Telaviv nzima ni giza kwenye shelta hapakaliki
 
Hawa wanaoshabikia si ajabu October 29 hata kwenda dukani kununua mkate hawakuweza. Na wengine siku ya tatu wakaanza kulalamika karantini iishe

Ila kwenye vita za wenzetu mnavyojifanya wachambuzi na mashabiki. Heartless cowards
Usinikumbushe ilipigwa risasi nikahisi wapo kibarazani kwangu, unajua kuchanganyikiwa??🤣🤣🤣
Mungu atunsuru na vita aiseeh!
 
Sio ujinga wewe ndio utakuwa mjinga zaidi. Watu ni nchi yao wameamua wenyewe kwa utashi wao na interest zao wewe yasiyokuhusu unawaona wajinga? Unajielewa kweli? Tuendelee kukimbisana na ccm huku na wakina Dc Magoti.
Walioamua kuingia vitani ni wanasiasa sio raia.
Hata USA ndio maana yalizuka maandamano ya kupinga vita.
Na maseneta wengi wanapinga Trump kuendelea na hii vita.
Huko Israel raia wanalia kwanini Netanyahu amewaingiza vitani.
Tofautisha matakwa ya raia na matakwa ya wanasiasa.
 
Gaza(Hamas) sindio walianza kubaka na kuwaua watu wa israel?
We jamaa wa wapi!?
Mbona unaropoka ujinga mwingi na HUNA UNALOJUA!??
Israel waliambiwa wapeleke ushahidi wa ubakaji wa Hamas wakakosa ushahidi na wakala kona kule ICJ.
Ila wewe ushahidi unao au sio!?
 
Hujajibu swali,
Kwa nini Allah alishindwa kumzuia Ayatollah gaidi asifariki
Uislam unasema kila nafsi itaonja kifo.
Khamenei ni mzee wa miaka 86 amepigana vita za Iraq kwa miaka nane akiwa rais na alitoka salama.
Inamaana siku zake zilikua bado,ila awamu hii muda wake umefika na yeye akatangulia.

Naskia Yesu mtoto wa Mungu,kwanini aliuliwa na marungu na Mungu akashindwa kumlinda mtoto wake??
 
Furaha yenu ni ndogo sana na haidumu kama furaha ya mwanamke aliyejifungua ingawa miezi tisa amepitia mateso.
Lakini hakika maisha yenu yote mpaka ulimwengu unaisha nakuahidi mtaishuhudia israel ikiendelea kuwanyoosha kisawasawa
Ngoja tuone
 
Hawa wanaoshabikia si ajabu October 29 hata kwenda dukani kununua mkate hawakuweza. Na wengine siku ya tatu wakaanza kulalamika karantini iishe

Ila kwenye vita za wenzetu mnavyojifanya wachambuzi na mashabiki. Heartless cowards
Nimekuelewa sana mkuu
 
Acha nao wapigwe, wamezidi kuonea wengine. Wamtungue Benja
😄😄😄😄😁😁Benja haaaa wewe uyooooo kweli marafiki wa kweli utawajua wkt wa dhiki wapigwe tu😜😜watanzania kweli si wakuwaamini picha ya Lissu umeinajisi!!!
 
😄😄😄😄😁😁Benja haaaa wewe uyooooo kweli marafiki wa kweli utawajua wkt wa dhiki wapigwe tu😜😜watanzania kweli si wakuwaamini picha ya Lissu umeinajisi!!!
Kiaje? Nyie ndio watu wa kufuata mikumbo
 
INCREDIBLE BREAKING NEWS
TEL AVIV TONIGHT: IT'S TOTAL CHAOS

Iranian missiles raining down relentlessly, residential neighborhoods torn apart, buildings gutted, craters in the streets, black smoke everywhere
Direct impacts confirmed, mounting human casualties, severe injuries from shrapnel and debris
Juzi walisema wanatumia laser ya kuzitungua hizi drone ambazo wao ina wa cost $3 kwa kila wakitungua Shahid moja ambayo ina cost $50k. Au ndio propaganda zao tu
 
Objective ni kuiondolea Iran uwezo wa kumiliki nuclear weapons lengo hilo ndio Paramount kwao na wamefanikiwa. Kubomoa hihayo magorofa Wala sio ishu kubwa Kwa Israel yatajengwa upya lakini sio kumiliki bomu la nuklia.
 
Sizitaki mbichi hizi 😄
 
Back
Top Bottom