Picha: Hali ya Telaviv ni mbaya

Picha: Hali ya Telaviv ni mbaya

mara mkuu wa mosad, mara netanyahu ameuliwa..yani sa ivi iran wamebakiza vita ya propaganda tuu washapigwa kila sehemu
Hawa mijamaa wanachisha na umbeya wao kwenye vita

Sasa si ndo alete taarifa rasmi ya kuuwawa Kwa Mossad
 
Uislam unatumia common sense.
Ayatollah Khamenei ameishi miaka 86,alipigana vita za Iraq kwa miaka nane na mbona hakufa katika hiyo vita!?
Bimaana muda wake ulikua bado,uislam unasema "kila nafsi itaonja kifo".
Muda wake umefika akafariki.

Turudi kwa Yesu,ukristo HAUNA COMMON SENSE,Mungu ni wa kusamehe pasi na masharti na ni wa kuwashurutisha waliomkosea wamuombe msamaha. Yani dhambi utende wewe halafu unaemuabudu ajiadhibu kwa dhambi ulizomkosea??
Ni sawa umkosee baba yako halafu baba yako ajiadhibu kisa makosa yako!??
Hivi hiyo ni common sense!?
Mambo ya Rohoni yanajulikana na watu Rohoni huna uwezo wa kuyaelewa

Jadili mambo unayoyaweza
 
Umepata taarifa huko mkuu wa mossad kaliwa kichwa endelea kulia Lia mnatia huruma this time mmevamia mtumbwi wa vibwengo
Mtawala wangapi kwa maneno? Kwanza mlimuua kwa Maneno waziri Mkuu wa Israel Mwamba Benjamin Netanyahu na viongozi wengi tu cha ajabu mpaka jioni hii wapo hai wanatimiza majukumu yao ya kuwaangamiza magaidi kutoka Iran.

Endeleeni tu kuteseka na Israel kwa kuwaua viongozi wake kwa Hisia!!!!!!
 
Samahani mkuu jamaa namwambia madhara ya vita kwa Nchi zinazojihusisha na matumizi ya Usd yeye anakomaa tuzungumzie Uchaguzi wa home..
Usiwaze mkuu, nimekutania tu mzee...
Mivinjeni umenikumbusha mbali, kumbukumbu zangu za utotoni, sababu ya kifo cha moja ya wanamuziki niliotokea kuwapenda TX MOSHI WILLIAM alipopata ajali kwa kuugonga mmoja kati ya mivinje ya pale..
Juzi kati nimeenda hamna kitu, kurasini yote imevunjwa, uwanja wa mpira wa UGIMBI haupo, zimebaki kota tu
 
Hiki ni kipigo cha usiku kucha cha makombora ya Iran

Wanapigwa kama mbele yaani wamechokoza nyuki sasa wanaplay Victim card

Na haya yote utasikia walokufa ni watano tu.....Wazee wa kuficha madhara

Hizi picha zimeleak kwa shida sana maana wameondoa live Coverage zote

Israelis no longer receiving proper warnings of Iranian strikes.

Iran has wiped out the entire US THAAD and Patriot radar system in the Gulf using $50k drones. It will cost billions and take a decade to replace.

INCREDIBLE BREAKING NEWS
TEL AVIV TONIGHT: IT'S TOTAL CHAOS

Iranian missiles raining down relentlessly, residential neighborhoods torn apart, buildings gutted, craters in the streets, black smoke everywhere
Direct impacts confirmed, mounting human casualties, severe injuries from shrapnel and debris

View attachment 3555840View attachment 3555841View attachment 3555842View attachment 3555843View attachment 3555844View attachment 3555845View attachment 3555846View attachment 3555848View attachment 3555849

Screenshot_2026-03-11-19-53-02-513_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2026-03-07-17-03-41-994_com.instagram.android~2.jpg
Screenshot_2026-03-08-06-53-03-452_com.twitter.android~2.jpg
Screenshot_2026-03-08-20-42-41-568_com.instagram.android~2.jpg
 
Hawa wanaoshabikia si ajabu October 29 hata kwenda dukani kununua mkate hawakuweza. Na wengine siku ya tatu wakaanza kulalamika karantini iishe

Ila kwenye vita za wenzetu mnavyojifanya wachambuzi na mashabiki. Heartless cowards
Hata kwenye ulingo mashabiki wapo.nanj aliyemtuma Trump kumuua khomenei?
Sisi ni watazamaji na mashahidi.
Wameamua wenyewe.acha Tule popcorn na movie iendelee.
Mimi nipo IRAN
 
Hiki ni kipigo cha usiku kucha cha makombora ya Iran

Wanapigwa kama mbele yaani wamechokoza nyuki sasa wanaplay Victim card

Na haya yote utasikia walokufa ni watano tu.....Wazee wa kuficha madhara

Hizi picha zimeleak kwa shida sana maana wameondoa live Coverage zote

Israelis no longer receiving proper warnings of Iranian strikes.

Iran has wiped out the entire US THAAD and Patriot radar system in the Gulf using $50k drones. It will cost billions and take a decade to replace.

INCREDIBLE BREAKING NEWS
TEL AVIV TONIGHT: IT'S TOTAL CHAOS

Iranian missiles raining down relentlessly, residential neighborhoods torn apart, buildings gutted, craters in the streets, black smoke everywhere
Direct impacts confirmed, mounting human casualties, severe injuries from shrapnel and debris

View attachment 3555840View attachment 3555841View attachment 3555842View attachment 3555843View attachment 3555844View attachment 3555845View attachment 3555846View attachment 3555848View attachment 3555849
Asante kwa taarifa...haya weka na picha za iran anavyofilimbwa na yeye tuone
 
Back
Top Bottom