Picha: Hali ya Telaviv ni mbaya

Picha: Hali ya Telaviv ni mbaya

Hiki ni kipigo cha usiku kucha cha makombora ya Iran

Wanapigwa kama mbele yaani wamechokoza nyuki sasa wanaplay Victim card

Na haya yote utasikia walokufa ni watano tu.....Wazee wa kuficha madhara

Hizi picha zimeleak kwa shida sana maana wameondoa live Coverage zote

Israelis no longer receiving proper warnings of Iranian strikes.

Iran has wiped out the entire US THAAD and Patriot radar system in the Gulf using $50k drones. It will cost billions and take a decade to replace.

INCREDIBLE BREAKING NEWS
TEL AVIV TONIGHT: IT'S TOTAL CHAOS

Iranian missiles raining down relentlessly, residential neighborhoods torn apart, buildings gutted, craters in the streets, black smoke everywhere
Direct impacts confirmed, mounting human casualties, severe injuries from shrapnel and debris

View attachment 3555840View attachment 3555841View attachment 3555842View attachment 3555843View attachment 3555844View attachment 3555845View attachment 3555846View attachment 3555848View attachment 3555849
Kwa nini Allah alishindwa kumlinda gaidi Ayatollah khamenei???
 
Israel kachomeshwa na USA anaua watu wake kijinga sana hapo watawadanganya mapimbi kuwa wote walikua kwenye shelter haya hao zima moto wanafanya nini na wametoa macho balaa..
Sijui huwa wanawaza nini kuanzisha vita isiyo na kichwa wala miguu huku wakijua madhara yake ni makubwa sana..
Netanyahu msenge anawatesa sana Raia wake dahh it's scary

Walidhani kwamba Iran ni Kenya kmmk 😄😄🙌

Wanacho kutana nacho wanatamani iwe ndoto bad enough Iran hawataki kusikia neno ceasefire 🤣
 
Tuletee na picha kutoka TEHRAN unatuletea taarifa za upande mmoja tu! Ukiona hivyo Israel ujue Tehran ni mara 10 ya hicho ulichokipost hapa
 
Netanyahu msenge anawatesa sana Raia wake dahh it's scary

Walidhani kwamba Iran ni Kenya kmmk 😄😄🙌

Wanacho kutana nacho wanatamani iwe ndoto bad enough Iran hawataki kusikia neno ceasefire 🤣
Mnajitia moyo hivyo hivyo,lakini kifiro mtaendelea kukipokea mpaka ulimwengu unaisha
 
Wazungu wajinga tu si unaona watu wanavyokufa huko Dunia ya sasa hivi hawatatui migogoro kwa Vita ndio maana Spain walikataa ardhi yao kutumia kuweka base pale nyi Wandengereko mnadhani kila wanachoamua wazungu wapo sahihi ujinga ni ugonjwa mbaya sana aisee..
😄😄
 
Kwa sasa Manzese inaonekana nzuri kuliko Tel Aviv.
Endeleeni kujipa hope hivyo hivyo huku mkisubiri kufutulishwa jioni,lakini ulimwengu umeshuhudia kuwa hata Allah mwenyewe hawezi kuzuia kazi ya israel
 
Israel kachomeshwa na USA anaua watu wake kijinga sana hapo watawadanganya mapimbi kuwa wote walikua kwenye shelter haya hao zima moto wanafanya nini na wametoa macho balaa..
Sijui huwa wanawaza nini kuanzisha vita isiyo na kichwa wala miguu huku wakijua madhara yake ni makubwa sana..
Israel ndiye aliyemuingiza king Trump
Umemsikia Trump analalamika 'kumbe Iran walikua na makombora mengi kuliko tulivyojia'
Yaani hapo intelijensia Yao ilifeli,na Iran waliwafanyia kusudi kuwapa taarifa za makombora baadhi kama Siri kumbe kuna mzigo pembeni wa kutosha
Ndiyo maana unaona wanaongeza carriers na silaha zingine
Iran na hizbullah wamepata tobo la kuichakaza Israel,vita vikiisha Israel itakua imechakaa kweli kweli
 
Kinachoshangaza Israel ana mapandikizi wengi pale Iran ila baadhi ya vitu hajui kabisa anakuja kukutana navyo kwenye vita kama wangejua madhara yake ni hivi wasingethubutu hata kidogo kuna picha niliona Myahudi anarekodi kwa kujificha simu kaiweka chini ya magoti.
 
Tena hapo washukuru kitengo chao Mosadi kipo vizur,wangekuwa na shirika la ujasusi kama la Malawi, zamani pale Israel kungekuwa na mashimo ya kufugia kambale
 
Wale Iran sio kwa umbali ule wanafanya kama wapo karibu na walijiandaa sana na drones kuliko kitu kingine chochote..
Wasitishe vita pande zote ili maisha mengine yaendelee huko baharini hakuna kitu kinapita zaidi ya meli zao za kivita..
 
20260310_130951.jpg
 
Back
Top Bottom