Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,761
Akili yako ni ndogo sana. Rudi shuleWafadhili wanajitoa kwasababu ya kukosa namna ya kutuibia. Zile Fedha zote walizokuwa wakitupa walikua wakiziiba hapa kwetu, na kutufadhili chache. CCM ya Magufuli imelibaini hilo.
Wewe sio mtanzania. Acha chuki. Kama ni bomba la mafuta , tayari imeishapitishwa, litapitia TANZANIA, Tanga!
Unapotaja Biblia eleza andiko umelitoa sehemu gani ndani ya biblia, vinginevyo utakuwa ni ubabaishaji.Una miaka mingapi mkuu kuniita dogo?
Kwa mwandiko huu unanipa wasiwasi huenda nikiweka mstari utaniambia niweke biblia.
Heri yake aliye sadiki bila kuona.
Wewe kwa mfano hio china umeanza anzaje kuifananisha na ruvu?Unataka kusema nini-labda-kwa mfano?
Cha malawiMtoa mada leo umevuta hewa ya mmea gani vile?